Hakuna mwananchi mwenye akili timamu anaweza kusifia huu ugumu wa maishaWanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.
Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.
Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.
Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.
HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Swali zuri snKwa rais yupi wa kuyawaza hayo?
Wanamjaza kuwa anaupiga mwingi huku wanaiba mali za umma, matumizi makubwa na ya anasa ya fedha za umma, ugumu wa maisha n.kKatika wale thenashara Yuda Iskarioti Ndio aliyekuwa akimsifia sana Yesu lakini Petro alikuwa ni mtu anayemuhoji sana Yesu
Katika wale malaika Gabriel, Mikael, Lucifer na Raphael ni Yeye Shetani Lucifer ndiye alikuwa akimsifia sana Mungu wa Mbinguni huku akimsifu na kumuabudu kwa nyimbo na vinanda
Wahuni ft Chawa siyo Watu 😂😂🌟
cheki mzee mjinga kama huyu unategemea nchi itapata maendeleo
Rais yupi kam ni mama abduli tumeshaaliwa siku nyingiWanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.
Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.
Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.
Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.
HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Hata katika mazingira ya kawaida ukiona mtu anakusifia sana wewe na hujawahi kumsikia akimsifia Mungu basi ujue Shetani yumo ndani yake 😂Wanamjaza kuwa anaupiga mwingi huku wanaiba mali za umma, matumizi makubwa na ya anasa ya fedha za umma, ugumu wa maisha n.k
Mjinga wewe umenivunja mbavu haswa, bora Jokate acheleweshe posho zenu aseeHata katika mazingira ya kawaida ukiona mtu anakusifia sana wewe na hujawahi kumsikia akimsifia Mungu basi ujue Shetani yumo ndani yake 😂
Wameshajua ni kiaziWanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.
Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.
Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.
Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.
HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Na Tena huyo Jamaa anaevaa skafu na t-shirt ya bendera ya taifa wasipomshtukia mapema kwenye lichama lao,ana balaa kule mbele. Kwenye moyo wake ana Siri chafu.Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.
Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.
Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.
Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.
HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.