Rais hajiulizi kwanini wanaomsifia ni wateule wake tu na si makundi ya Wananchi?

Wateule nao ni makundi ya Wananchi walioteliwa
 
Wanatetea matumbo yao
 
Na walivyo waongo wanamwambia "Mh Raisi wananchi wote wanakukubali mno mno, haijawahi kutokea Raisi yoyote kupendwa kama wewe" 🤣 🤣
 
Mleta mada kumbe nawe ni mteule maana ulikuwemo kwenye group la wanaupiga mwingi.

Mimi ninachojua, tuna Rais, Mama Samia. Anafanya kazi kwa mujibu wa sheria na namna anavyotaka wananchi waishi katika kupiga hatua kimaendeleo. Huu ndiyo ukweli!!
 
Good analysis na ukweli mtupu

Watu wamegeuka kuwa wanafiki ni kusifia asubuhi hadi jioni na imekuwa ndio mtindi wa maisha,asiesifia anakuwa na wasiwasi anaweza kukosa kwenye pdf (mkeka)wa zuhura

Imekuwa tafrani.
 
Haumo kwenye mfumo wa wanufaika wa keki ya taifa utaanzia wapi kusifia na kumpamba mama?
 
[emoji736]️Kwanza huyu mama hana Dira ....
[emoji736]️Hana sera .....
[emoji736]️Hajui kutoa hotuba .....
[emoji736]️Hajui matatizo ya wannchi kabisa ....
[emoji736]️Ana fuga wezi, chawa, na wapigaji
[emoji736]️Hana sifa yeyote ya kuwa Rais wa nchi .....


Kwa kifupi hapa tume pigwa
 
Fanya kazi..ukiona maisha magumu jua wewe ni mvivu unayejiita mnyonge
 
Huyu Mh. Rais ni mtu wa kupenda misifa, na sidhani kama anajuwa lengo la wanaomsifia kijinga.
 
Nimevurugwa hapa mpz wangu kajifungua twins kwa operation na sina hata mia. ILA IMEBIDI NICHEKE KWA SAUTI... Nmeishia kumuwaza Mchengerwa na mama mkwe wake
Pole mkuu Bwana atasimama nawe hajawahi kuacha kuwafariji wewe shida daima na wamtumainio
 
Mleta mada kumbe nawe ni mteule maana ulikuwemo kwenye group la wanaupiga mwingi.

Mimi ninachojua, tuna Rais, Mama Samia. Anafanya kazi kwa mujibu wa sheria na namna anavyotaka wananchi waishi katika kupiga hatua kimaendeleo. Huu ndiyo ukweli!!
Anafanya kwa mujibu wa sheria? Jee hivi kuuza bandari amefuata sheria za kulinda rasilimali? Au kufurumusha wamasai katika ardhi yao na kuwapa wajomba ni kufuata sheria?
Shida yenu ni kumchukulia Rais kwa mahaba badala kama kiongozi anayewajibika kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…