Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

Ila chadema na watu wao kama mdude nyagali,,yericko nyerere na kigogo ndiyo mnaona Wana akili eeh??
Kwanza hao wote uliowataja sio saizi yako infact unawajua hawakujui , unawafuatilia hawakufuatili

Sasa jiulize kwanini wewe mwenye akili unawajua wajinga wasiokujua?
 
Alipokosea mama alikuwa awaite mapema awasikilize maoni yao awape muda zaidi.

Sasa tunaona wasaidizi wake wanafanya Mambo ya kuichafua Tanzania. Hata Kama itakuwa ni kweli watanzania hawawezi kuamini Mbowe ni Gaidi. Hata Mimi nitakiwa mmoja wapo wakukataa.

Turudishe dhamira zetu kwa mungu na tupendane.

Ile kauli ya mama kosoa kwa staha naipenda sana na ilikuwa na maana kubwa sana.

Ukiwaita Sasa hivi watakujibu kwa hasira. Wape tarehe ya mbali maumivu yapungue.
 
Ain't nobody give a damn about chadema,

Nan anahangaika nao?wao ndiyo wanahangaika na sisi wananchi Tena kwa maslahi yao,lin sisi tumewatuma chadema kupambana kwa jasho na dam hivyo kudai katiba mpya?lin...
KWELI WATANZANIA TUNA KAZI KUBWA KUBWA MBELE YAMKINI BADO TUNA VIJANA WENYE AKILI KAMA ZAKO BASI INAKATISHA TAMAA
Mmesahau katiba ya wananchi ya jaji warioba mmeifungia kwenye makabati kwa uoga ubinafsi wa CCM,Ile ina maoni ya watanzania wanataka kujitawala kwa namna gani,hatuhitaji katiba ya CCM wala CHADEMA tunaitaka ile ya wananchi wa TANZANIA.
 

Hata Afrika kusini akina Mandela walipambana na dola, tena ilikuwa na nguvu kuliko hawa wanaotumia mbinu za karne iliyopita ya kina Mahita kubambikia kesi. Au unadhani dola ni kitu kipya? Kama ww umeshindwa kupambana na dola ya majizi ya kura, wachie wenye sababu halisi wafanye. ww baki ukimtetea huyo msikiti mwenzio.
 
Unaelewa maana ya utawala wa katiba na sheria wewe kilaza?
 
Mikusanyiko ya Simba na Yanga
 

This is a new level of stupid! Unazungumziaje katiba kama hutaki mabadiliko yake? Yes, hata regime change ni moja ya vitu vya kupiganiwa! Si sahihi kuwa na maelefu ya watu wasiolipa kodi lakini tunawatunza kuanzia nyumba, umeme mpaka maji na wanachokifanya ni kuhakikisha regime inafuraha! Ni kwa sababu regime ina mamlaka na watu hao (wakuu wa wilaya, DAS, RCs, RASs). Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Regime structure iliyo na gharama kubwa kwa mnyonge wa uswahilini!! Yes, regime change!!

Badala ya kuonyesha kidole kwa Chadema, vipi CCM walioanzisha mchakato kwa kukataa maini ya wananchi yaliyokusanywa na Tume ya Katiba na kisha kupendekeza ile waliyokuwa na control nayo kupitia Bunge la Katiba halafu kila aliyefuata anasema sio kipaumbele na mwingine anasema tufanye maendeleo kwanza! Ni nani kati ya hawa hana nia njema ya Katiba??? Hata tu mamlaka ya kuamua kufunga au kufungulia vyombo vya habari ni maswala yanayohusu regime powers. Ipo siku tutapata Rais atakayetumia regime powers kufanya anachotaka bila yeyote kumzuia wala hata kusema!!

You are not Big Show but Big Shyte! Big body, small brain!! Partisan and a buffoon!
 
Katiba ya Chadema imewahi kufanyiwa mabadiliko mengi
Labda ulitaka katiba ya CHADEMA iweje kwa mfano?
Unadhani kuna kitu gani kibaya ndani ya katiba ya CHADEMA?
Mnakuwaje Mwenyekiti wa chama yule yule Kwa zaidi ya miaka 20
 
RPC wa Mwanza ndiyo aliyesema kuwa katumwa na Rais kumteka Mbowe.
 
T
Tatizo lenu nyie ni mabingwa wa matusi. Kwa utafiti wangu ni kwamba asilimia kubwa ya watu ya aina yako mnaishi kwa frustration kubwa za kimaisha. Mkuu muone waziri Lukuvi akutafutia hata kishamba huko Mkuranga ukalime ili upunguze hizi stress
 
Kwanza hao wote uliowataja sio saizi yako infact unawajua hawakujui , unawafuatilia hawakufuatili

Sasa jiulize kwanini wewe mwenye akili unawajua wajinga wasiokujua?

Ofcourse siyo size yangu,

Mimi unifananishe na mafala Njaa kali wasio na mbele Wala nyuma kama yericko na mdude,hao ni bavicha wenzako mnaokaa nao na kudanganyana eti Wana harakat,teh teh ten
 
T

Tatizo lenu nyie ni mabingwa wa matusi. Kwa utafiti wangu ni kwamba asilimia kubwa ya watu ya aina yako mnaishi kwa frustration kubwa za kimaisha. Mkuu muone waziri Lukuvi akutafutia hata kishamba huko Mkuranga ukalime ili upunguze hizi stress

Wanachoshangaza Zaid,wakiambiwa waingie barabaran hawaendi wanategea...

Sijui ni makamanda gan hawa
 
Wanachoshangaza Zaid,wakiambiwa waingie barabaran hawaendi wanategea...

Sijui ni makamanda gan hawa
Unafikiri hata hao wajeda wote wanafurahiya Mambo yamayofanyika? Sema hivi vihela vya kupiga kiatu rangi inawasitirisha. Na watanzania hawapendi misukosuko ila vijana wa kisasa ni wabishi wataenda.

Tuseme Asante shule za kata zimesaidia vijana kujitambua.
 
Laiti Polisi wangekuwa taasisi huru kihivyo, kwamba wamkamate Kiongozi Mkuu wa Upinzani bila maelekezo toka kwa anayewateua. It is not so.

Na acheni lugha ya vijembe kama "mwanamke wa Kikurya"na mjikite kwenye kujenga hoja.

Kama ingekuwa kweli Polisi wamemkamata Mbowe bila kutumwa na Rais basi aamuru wamwachie awe huru.

The President is answerable for the actions of the Police. If it is true that they fouled up this way then she must sack the IGP. Amfukuze kazi kwani amemharibia sana. Amemdhalilisha na kudhalilisha taifa sana sana. We are back to looking like a banana republic.
 
Ndugu,
Acha kabisa hizo porojo. SSR alisema WAZIWAZI katiba mpya ni mpaka amalize kwanza kujenga uchumi, SIJUI lini.
Keshaeleweka kuwa hataki katiba mpya, anataka hii hii ya 1977 inayowaunda miunguwatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…