Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

Unataka regime change kisha uje uongozwe na mbowe?

Ambae kwa miaka 17 yupo kwenye chama kama mwenyekiti,na hatak kutoka

Ndio maajabu haya,kakanyaga katiba ya chama chake huku anakuja kuhadaa umma eti katiba mpya ,huyu ni nyumbu haswa aisee ,afadhali hata Lipumba
 
..kama hawajatumwa na Rais ina maana wanajifanyia wao wenyewe?

..unafahamu kwamba askari asiyefuata maelekezo ya wakubwa zake ni MUASI?
 
Labda kwa taarifa yako na wengine wenye akili nyembamba kama uliyonayo ni kwamba bila kujali ni polisi wenyewe au ni Samia , Freeman Mbowe , Mwamba mwenyewe hajawahi kuogopa wala kuhofia kukamatwa na Polisi wa Tanzania , kwa sababu polisi wanamheshimu sana Mbowe kuliko unavyodhani na ndio wanaompa siri zote za wanaowatuma
Hahaaaaa.....hii ya kukamatwa pia alipewa? Kama anapendwa hivyo na police matusi na kelele kwa nini? Si Yuko na wapendwa wake😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Friends and Enemies,

Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,

Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga mkono juhud za mwendazake,kumbe walimuelewa...JPM alikuwa anazungumza lugha ambayo kumbe kwao ilikua inaeleweka...

Baada ya samia Hassan SULUHU kuingia madarakan,wakaja Tena na hoja hiyo akawapa majibu kuwa nimewaskia,give me time nitaifanyia Kaz,nitarudisha uhuru wa habar, demokrasia na pia Soon or later nitakutana na wapinzan tuyazungumze kwa pamoja na kutibu majeraha ya pande zote mbili,, I guess like that was a huge mistake that president SAMIA did,..hawakuilewa lugha ile, instead ndipo wanaanza harakat zao wanazoziita constitution reforms,na mambo mengine mengi kisa wameona huyu alieopo saiz ni weak na ni mwanamke,she's weak kama alivyokawa kikwete ngoja tumuendeshe had ashindwe kuongoza nchi hii,,

Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,

After all chadema hawapo real kwenye HILI suala la katiba,they are not fighting for constitution reforms, instead they are after regime changes tuh,ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa hivi,hii ni kwa maslahi yao tuh,

Kama wanamanisha kweli basi wangeanza na chama Chao kwanza kufanya hizo reforms,kama wameshindwa ndan ya chama Chao kufanya hizo reforms wataanzaje kuwaza katiba ya nchi??

Kama chadema wameamua kumfundisha madam president lugha ambayo wao chadema wanaielewa vyema kama ambavyo walikuwa wanaielewa ile ya marehem JPM basi wazungumze nae hiyo lugha,kukimbilia CNN au BBC haitawasaidia...
watu wakishiba kiti moto choma weekend wanaongea tu.. pole sana big choo
 
Kujua kinachoendelea unahitaji kuangalia picha halisi kwa marefu na mapana.

Ishu sio mbowe kupewa kesi ya ugaidi ishu ni watanzania kupumbazwa kuhusu Mbowe ili chanjo za corona na uhuru ambao mtanzania anapoteza kila siku zinavyoenda .
Pesa ya corona imeingia wenye pesa zao wanataka tufuate masharti ambayo 75% ya waTz wanaona ni ya kipuuzi sasa tunafanyaje?kwakuwa mbowe nae kapokea fungu lake basi M/kiti kakubali kuwa centre of attention kuwapumbaza watu.

Hapa ishu ni Agenda ya corona inavyopenyezwa kupitia Mbowe.

Mbowe hajawahi kuwa na kashfa ya ugaidi ukiona kapewa tuhuma z ugaidi laZima ujue lengo ni nini na kujua hilo lazima uwe neutral ukiangalia nn kinaendelea kwa sasa
 
Ni ngumu,

Kweli hii andiko lako ni ngum,me sijakuelewa
 
Jamaa ni bogus sana, wana uwezo mdogo wa kuchambua mambo na kuyajengea hoja ya kueleweka.

Wewe ndiyo bogus,we unakubali vip mbowe akupiganie katiba mpya Ili hali katika katiba ya chama chake kajiongezea muda wa kukaa madarakan kwa kuondoa Kikomo Cha kukaa madarakan??

Miaka 17 yupo hatak kutoka akipewa nchi si atakuwa kama museven huyo
 
Subiri ushahid mahakaman, time hii nyumbu wataisha kwa pressure😂😂
Mimi sijui hao nyumbu unaozungumzia ni nani. Najuwa tu kwamba waTanzania wataendelea kuwepo hata bila ya CCM au hao wengine wenye majina mliyowapa.

Kama una mahakama unayotaka yafanye kama unavyotaka wewe, basi hiyo ni mahakama yako siyo ya Tanzania.

Huo uzalendo unaojivisha ndani ya jina lako huutendei haki.
 
Wewe ndiyo bogus,we unakubali vip mbowe akupiganie katiba mpya Ili hali katika katiba ya chama chake kajiongezea muda wa kukaa madarakan kwa kuondoa Kikomo Cha kukaa madarakan??

Miaka 17 yupo hatak kutoka akipewa nchi si atakuwa kama museven huyo
Hilo ni swali unalotakiwa kwenda kuwahoji CHADEMA, vipi waliruhusu iwe hivyo.

Huyo unayemjibu hapo anahoji katiba ya Tanzania akiwa kama mTanzania bila kujali yupo au hayupo nndani ya chama chochote cha siasa.

Kama huwezi kutambua tofauti hiyo, utakuwa na kasoro mahali fulani.
 
Sikuwahi kuwa upande wa mwendazake siyo kwa kuwa ni mkristo,Kwan hawa chadema ambao mwendazake alikua akawapa kibano ni waislam?ni wakristo wenzake hawa kina Mbowe,lkn nilimkataa kwa movement zake,Ila amekuja ambae at least anaonesha kutaka kufanya kaz na hawa wanasiasa uchwara kama chadema wanajifanya wanataka kuwa majabali wataweza vip kushindana na dola?
Ngoja Baada ya miaka mitatu anakuja mkristu tena😀
 
Chadema ni kama mwanamke wa kikurya… bila vibao ndoa haikaliki

wanapenda hizi popularity za drama, zinawapatia Pesa ya kuishi viongozi wao
Kuna ccm ataweza kuwa mbabe Kama mwendazake? Leo mbona aliwa na funza tu Kama wengine!!
 
Unataka regime change kisha uje uongozwe na mbowe?

Ambae kwa miaka 17 yupo kwenye chama kama mwenyekiti,na hatak kutoka
Hata Kama, Kwani regime change Ni dhambi? Si ipo kikataba au wewe ulitaka watu waingie msituni? Au wewe unafikiri vyama vingi Ni kwa ajili ya harusi au?
 
Back
Top Bottom