Dola kweli dollar kiss my ass you idiot. The schemer at work.Sikuwahi kuwa upande wa mwendazake siyo kwa kuwa ni mkristo,Kwan hawa chadema ambao mwendazake alikua akawapa kibano ni waislam?ni wakristo wenzake hawa kina Mbowe,lkn nilimkataa kwa movement zake,Ila amekuja ambae at least anaonesha kutaka kufanya kaz na hawa wanasiasa uchwara kama chadema wanajifanya wanataka kuwa majabali wataweza vip kushindana na dola?
NAONA ushakaukiwa hoja.Wanachoshangaza Zaid,wakiambiwa waingie barabaran hawaendi wanategea...
Sijui ni makamanda gan hawa
Katiba mpya ndio tiba.Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.

Acha uongo Mdini sana weweSikuwahi kuwa upande wa mwendazake siyo kwa kuwa ni mkristo,Kwan hawa chadema ambao mwendazake alikua akawapa kibano ni waislam?ni wakristo wenzake hawa kina Mbowe,lkn nilimkataa kwa movement zake,Ila amekuja ambae at least anaonesha kutaka kufanya kaz na hawa wanasiasa uchwara kama chadema wanajifanya wanataka kuwa majabali wataweza vip kushindana na dola?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chadema ni kama mwanamke wa kikurya… bila vibao ndoa haikaliki
wanapenda hizi popularity za drama, zinawapatia Pesa ya kuishi viongozi wao
Niwe mkweli, nimekudharau sana kuliko Pascal MayallaMchina huwez ongea nae kwa lugha ya kihispania,utazungumza nae kichina,
Mreno huwez ZUNGUMZA nae kijeruman, utazungumza nae kireno,
Mkongo huwez ZUNGUMZA nae kiswahili, utazungumza nae kikongo,chadema wanapaswa kuongea nao lugha wanayoielewa vyema
Takbiiirr!!!Sikuwahi kuwa upande wa mwendazake siyo kwa kuwa ni mkristo,Kwan hawa chadema ambao mwendazake alikua akawapa kibano ni waislam?ni wakristo wenzake hawa kina Mbowe,lkn nilimkataa kwa movement zake,Ila amekuja ambae at least anaonesha kutaka kufanya kaz na hawa wanasiasa uchwara kama chadema wanajifanya wanataka kuwa majabali wataweza vip kushindana na dola?
Nyerere alikuwa mwnyekiti wa TANU na CCM kwa miaka 36 (1954 hadi 1990).Mnakuwaje Mwenyekiti wa chama yule yule Kwa zaidi ya miaka 20
Kitu pekee nilichompendea Magufuli ni kutuondolea hawa wapuuzi jf pamoja na kuwafekelea mbali wale magaidi wa Mkiru na wenzao wengi tuHizi dini zilizoletwa na meli zimeharibu akili zetu waAfrika hadi tunatia kinyaa.
Tangu lini umekuwa msemaji wa Ikulu !.Rais angekuwa Irene au Stellah ungekuja na andiko lako la kipuuzi na unafiki.
Katiba hirai hilo nalo hujuiFriends and Enemies,
Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,
Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga mkono juhud za mwendazake,kumbe walimuelewa...JPM alikuwa anazungumza lugha ambayo kumbe kwao ilikua inaeleweka...
Baada ya samia Hassan SULUHU kuingia madarakan,wakaja Tena na hoja hiyo akawapa majibu kuwa nimewaskia,give me time nitaifanyia Kaz,nitarudisha uhuru wa habar, demokrasia na pia Soon or later nitakutana na wapinzan tuyazungumze kwa pamoja na kutibu majeraha ya pande zote mbili,, I guess like that was a huge mistake that president SAMIA did,..hawakuilewa lugha ile, instead ndipo wanaanza harakat zao wanazoziita constitution reforms,na mambo mengine mengi kisa wameona huyu alieopo saiz ni weak na ni mwanamke,she's weak kama alivyokawa kikwete ngoja tumuendeshe had ashindwe kuongoza nchi hii,,
Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,
After all chadema hawapo real kwenye HILI suala la katiba,they are not fighting for constitution reforms, instead they are after regime changes tuh,ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa hivi,hii ni kwa maslahi yao tuh,
Kama wanamanisha kweli basi wangeanza na chama Chao kwanza kufanya hizo reforms,kama wameshindwa ndan ya chama Chao kufanya hizo reforms wataanzaje kuwaza katiba ya nchi??
Kama chadema wameamua kumfundisha madam president lugha ambayo wao chadema wanaielewa vyema kama ambavyo walikuwa wanaielewa ile ya marehem JPM basi wazungumze nae hiyo lugha,kukimbilia CNN au BBC haitawasaidia...
MKIRU palikuwepo na gaidi? Nani huyo mtajeKitu pekee nilichompendea Magufuli ni kutuondolea hawa wapuuzi jf pamoja na kuwafekelea mbali wale magaidi wa Mkiru na wenzao wengi tu
Mkuu wewe ndio msemaji wa polisi tz au msemaji wa ofisi ya raisi? Hao viongozi wa vyama vya upinzani wanatumia nguvu kubwa ipi? Wana silaha gani ya kuwawezesha watumie nguvu kubwa. Kati yao napolisi walio wakamata nani wanaotumia nguvu kubwa kama sio polisi, wenye kila aina ya silaha za moto. Walio kamatwa hata visu hawana. Mkuu dai la katiba mpya sio la wana siasa pekee hata sisi wananchi tusio kuwa wanachama wa vyama vya siasa tuna dai katiba mpya. Katiba mpya ni haki yetu wananchi na si hisani au huruma ya raisi tunaemuweka madarakani sisi wananchiFriends and Enemies,
Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,
Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga mkono juhud za mwendazake,kumbe walimuelewa...JPM alikuwa anazungumza lugha ambayo kumbe kwao ilikua inaeleweka...
Baada ya samia Hassan SULUHU kuingia madarakan,wakaja Tena na hoja hiyo akawapa majibu kuwa nimewaskia,give me time nitaifanyia Kaz,nitarudisha uhuru wa habar, demokrasia na pia Soon or later nitakutana na wapinzan tuyazungumze kwa pamoja na kutibu majeraha ya pande zote mbili,, I guess like that was a huge mistake that president SAMIA did,..hawakuilewa lugha ile, instead ndipo wanaanza harakat zao wanazoziita constitution reforms,na mambo mengine mengi kisa wameona huyu alieopo saiz ni weak na ni mwanamke,she's weak kama alivyokawa kikwete ngoja tumuendeshe had ashindwe kuongoza nchi hii,,
Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,
After all chadema hawapo real kwenye HILI suala la katiba,they are not fighting for constitution reforms, instead they are after regime changes tuh,ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa hivi,hii ni kwa maslahi yao tuh,
Kama wanamanisha kweli basi wangeanza na chama Chao kwanza kufanya hizo reforms,kama wameshindwa ndan ya chama Chao kufanya hizo reforms wataanzaje kuwaza katiba ya nchi??
Kama chadema wameamua kumfundisha madam president lugha ambayo wao chadema wanaielewa vyema kama ambavyo walikuwa wanaielewa ile ya marehem JPM basi wazungumze nae hiyo lugha,kukimbilia CNN au BBC haitawasaidia...
Umeongea point Sana,
Mfano hai,kwa hii hii katiba tuliyonayo...inavunjwa waz waz kama hii ishu ya covid-19 hawa wa chadema...
Imetumika nguvu gan hasa hata ya kupelekea wananchi kuona uzito wa hilo suala lenyewe,si unaona wamerud kukaa kimya wakisubir huruma ya CCM??
Wangekuwa na akili kidogo wangeanza kudai tume huru ya uchaguz,wanaacha kuanza na vitu vya msingi wanakimbilia mambo MAKUBWA ambayo hata wenyewe ndan ya Chama yamewashinda
Kama hadi boss wao anakiri kawaambia wasiwabambike kesi watuPolice said,their god-damned chairman got a terrorism charges...we na mm tunawezaje kukataa na hatuna ushahid?
Tusubir polisi watuthibitishie,also we are resting to the cemetery many many of our loved ones,because of this third wave, mikusanyiko ya nini??
Wewe ni mnufaika wa unyonge wa watanzania!Friends and Enemies,
Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,
Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga mkono juhud za mwendazake,kumbe walimuelewa...JPM alikuwa anazungumza lugha ambayo kumbe kwao ilikua inaeleweka...
Baada ya samia Hassan SULUHU kuingia madarakan,wakaja Tena na hoja hiyo akawapa majibu kuwa nimewaskia,give me time nitaifanyia Kaz,nitarudisha uhuru wa habar, demokrasia na pia Soon or later nitakutana na wapinzan tuyazungumze kwa pamoja na kutibu majeraha ya pande zote mbili,, I guess like that was a huge mistake that president SAMIA did,..hawakuilewa lugha ile, instead ndipo wanaanza harakat zao wanazoziita constitution reforms,na mambo mengine mengi kisa wameona huyu alieopo saiz ni weak na ni mwanamke,she's weak kama alivyokawa kikwete ngoja tumuendeshe had ashindwe kuongoza nchi hii,,
Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,
After all chadema hawapo real kwenye HILI suala la katiba,they are not fighting for constitution reforms, instead they are after regime changes tuh,ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa hivi,hii ni kwa maslahi yao tuh,
Kama wanamanisha kweli basi wangeanza na chama Chao kwanza kufanya hizo reforms,kama wameshindwa ndan ya chama Chao kufanya hizo reforms wataanzaje kuwaza katiba ya nchi??
Kama chadema wameamua kumfundisha madam president lugha ambayo wao chadema wanaielewa vyema kama ambavyo walikuwa wanaielewa ile ya marehem JPM basi wazungumze nae hiyo lugha,kukimbilia CNN au BBC haitawasaidia...
This is a new level of stupid! Unazungumziaje katiba kama hutaki mabadiliko yake? Yes, hata regime change ni moja ya vitu vya kupiganiwa! Si sahihi kuwa na maelefu ya watu wasiolipa kodi lakini tunawatunza kuanzia nyumba, umeme mpaka maji na wanachokifanya ni kuhakikisha regime inafuraha! Ni kwa sababu regime ina mamlaka na watu hao (wakuu wa wilaya, DAS, RCs, RASs). Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Regime structure iliyo na gharama kubwa kwa mnyonge wa uswahilini!! Yes, regime change!!
Badala ya kuonyesha kidole kwa Chadema, vipi CCM walioanzisha mchakato kwa kukataa maini ya wananchi yaliyokusanywa na Tume ya Katiba na kisha kupendekeza ile waliyokuwa na control nayo kupitia Bunge la Katiba halafu kila aliyefuata anasema sio kipaumbele na mwingine anasema tufanye maendeleo kwanza! Ni nani kati ya hawa hana nia njema ya Katiba??? Hata tu mamlaka ya kuamua kufunga au kufungulia vyombo vya habari ni maswala yanayohusu regime powers. Ipo siku tutapata Rais atakayetumia regime powers kufanya anachotaka bila yeyote kumzuia wala hata kusema!!
You are not Big Show but Big Shyte! Big body, small brain!! Partisan and a buffoon!
Na hakuwa kutamka popote wakamatwe,na hastahili kuingilia kati kwa kuwa mama anafuata utawala wa sheriaFriends and Enemies,