Unataka regime change kisha uje uongozwe na mbowe?
Ambae kwa miaka 17 yupo kwenye chama kama mwenyekiti,na hatak kutoka
Hamna rangi mtaacha kuona. JPM aliwajueni na mliufyata. Mama katekenya kidogo tu!Wajinga wengi nchi hii!
Sasa amewatuma. Sema jingine..kama hawajatumwa na Rais ina maana wanajifanyia wao wenyewe?
..unafahamu kwamba askari asiyefuata maelekezo ya wakubwa zake ni MUASI?
Hahaaaaa.....hii ya kukamatwa pia alipewa? Kama anapendwa hivyo na police matusi na kelele kwa nini? Si Yuko na wapendwa wake😁😁😁😁😁😁😁😁😁Labda kwa taarifa yako na wengine wenye akili nyembamba kama uliyonayo ni kwamba bila kujali ni polisi wenyewe au ni Samia , Freeman Mbowe , Mwamba mwenyewe hajawahi kuogopa wala kuhofia kukamatwa na Polisi wa Tanzania , kwa sababu polisi wanamheshimu sana Mbowe kuliko unavyodhani na ndio wanaompa siri zote za wanaowatuma
watu wakishiba kiti moto choma weekend wanaongea tu.. pole sana big chooFriends and Enemies,
Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,
Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga mkono juhud za mwendazake,kumbe walimuelewa...JPM alikuwa anazungumza lugha ambayo kumbe kwao ilikua inaeleweka...
Baada ya samia Hassan SULUHU kuingia madarakan,wakaja Tena na hoja hiyo akawapa majibu kuwa nimewaskia,give me time nitaifanyia Kaz,nitarudisha uhuru wa habar, demokrasia na pia Soon or later nitakutana na wapinzan tuyazungumze kwa pamoja na kutibu majeraha ya pande zote mbili,, I guess like that was a huge mistake that president SAMIA did,..hawakuilewa lugha ile, instead ndipo wanaanza harakat zao wanazoziita constitution reforms,na mambo mengine mengi kisa wameona huyu alieopo saiz ni weak na ni mwanamke,she's weak kama alivyokawa kikwete ngoja tumuendeshe had ashindwe kuongoza nchi hii,,
Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,
After all chadema hawapo real kwenye HILI suala la katiba,they are not fighting for constitution reforms, instead they are after regime changes tuh,ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa hivi,hii ni kwa maslahi yao tuh,
Kama wanamanisha kweli basi wangeanza na chama Chao kwanza kufanya hizo reforms,kama wameshindwa ndan ya chama Chao kufanya hizo reforms wataanzaje kuwaza katiba ya nchi??
Kama chadema wameamua kumfundisha madam president lugha ambayo wao chadema wanaielewa vyema kama ambavyo walikuwa wanaielewa ile ya marehem JPM basi wazungumze nae hiyo lugha,kukimbilia CNN au BBC haitawasaidia...
Kujua kinachoendelea unahitaji kuangalia picha halisi kwa marefu na mapana.
Ishu sio mbowe kupewa kesi ya ugaidi ishu ni watanzania kupumbazwa kuhusu Mbowe ili chanjo za corona na uhuru ambao mtanzania anapoteza kila siku zinavyoenda .
Pesa ya corona imeingia wenye pesa zao wanataka tufuate masharti ambayo 75% ya waTz wanaona ni ya kipuuzi sasa tunafanyaje?kwakuwa mbowe nae kapokea fungu lake basi M/kiti kakubali kuwa centre of attention kuwapumbaza watu.
Hapa ishu ni Agenda ya corona inavyopenyezwa kupitia Mbowe.
Mbowe hajawahi kuwa na kashfa ya ugaidi ukiona kapewa tuhuma z ugaidi laZima ujue lengo ni nini na kujua hilo lazima uwe neutral ukiangalia nn kinaendelea kwa sasa
Ni ngumu,
Kweli hii andiko lako ni ngum,me sijakuelewa
Kwa hiyo mada yako hapa ni kuwa "Mbowe aliwaita polisi wampe kesi ya ugaidi"?Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,
Mwenyekiti kutawala mda mrefu kama ccm kutawala milele🤔🤔Katiba ya Chadema imewahi kufanyiwa mabadiliko mengi
Labda ulitaka katiba ya CHADEMA iweje kwa mfano?
Unadhani kuna kitu gani kibaya ndani ya katiba ya CHADEMA?
Subiri ushahid mahakaman, time hii nyumbu wataisha kwa pressure😂😂Kwa hiyo mada yako hapa ni kuwa "Mbowe aliwaita polisi wampe kesi ya ugaidi"?
Jamaa ni bogus sana, wana uwezo mdogo wa kuchambua mambo na kuyajengea hoja ya kueleweka.
Mimi sijui hao nyumbu unaozungumzia ni nani. Najuwa tu kwamba waTanzania wataendelea kuwepo hata bila ya CCM au hao wengine wenye majina mliyowapa.Subiri ushahid mahakaman, time hii nyumbu wataisha kwa pressure😂😂
Hilo ni swali unalotakiwa kwenda kuwahoji CHADEMA, vipi waliruhusu iwe hivyo.Wewe ndiyo bogus,we unakubali vip mbowe akupiganie katiba mpya Ili hali katika katiba ya chama chake kajiongezea muda wa kukaa madarakan kwa kuondoa Kikomo Cha kukaa madarakan??
Miaka 17 yupo hatak kutoka akipewa nchi si atakuwa kama museven huyo
Unaiogopa CNN? Kwani wao kina nani? Kama hawanaimpakti tuliza makalio chini.Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar,ooh yes hiyo ndiyo lugha ambayo wao chadema wanaielewa...wasikimbilie CNN
Mimi ni mchagga ila CDM hapanaaaChama cha wapare na wachaga kina maslahi yake binafsi kuna wengine hapo wanafuata msafara tu.
Ngoja Baada ya miaka mitatu anakuja mkristu tena😀Sikuwahi kuwa upande wa mwendazake siyo kwa kuwa ni mkristo,Kwan hawa chadema ambao mwendazake alikua akawapa kibano ni waislam?ni wakristo wenzake hawa kina Mbowe,lkn nilimkataa kwa movement zake,Ila amekuja ambae at least anaonesha kutaka kufanya kaz na hawa wanasiasa uchwara kama chadema wanajifanya wanataka kuwa majabali wataweza vip kushindana na dola?
Kuna ccm ataweza kuwa mbabe Kama mwendazake? Leo mbona aliwa na funza tu Kama wengine!!Chadema ni kama mwanamke wa kikurya… bila vibao ndoa haikaliki
wanapenda hizi popularity za drama, zinawapatia Pesa ya kuishi viongozi wao
Hata Kama, Kwani regime change Ni dhambi? Si ipo kikataba au wewe ulitaka watu waingie msituni? Au wewe unafikiri vyama vingi Ni kwa ajili ya harusi au?Unataka regime change kisha uje uongozwe na mbowe?
Ambae kwa miaka 17 yupo kwenye chama kama mwenyekiti,na hatak kutoka