Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

Wewe ndiyo bogus,we unakubali vip mbowe akupiganie katiba mpya Ili hali katika katiba ya chama chake kajiongezea muda wa kukaa madarakan kwa kuondoa Kikomo Cha kukaa madarakan??

Miaka 17 yupo hatak kutoka akipewa nchi si atakuwa kama museven huyo
Hata Kama ingekuwa kweli sasa katiba ya chadema, act, nccr, ccm nk inahusiana vip na katiba ya Tanzania ya Watanzania? Kwani katiba ya nchi inazaliwa na katiba za vyama? Yaani baba unahalalisha kazi yako ya wizi kwa hoja kwamba hata mwanao wa kumzaa naye Ni mwizi!!!!!
 
Ukomo wa utawala ndan ya Chama,

Is freeman mbowe a lifetime chadema chairman??

Please naomba majibu
Majibu wanayo Cheyo Lipumba na Mrema,pia waulize CCM kwanini kwenye chama chao mgombea wa uenyekiti taifa anakuwa mmoja tu? Hayo ya CCM ndani ya chama Chao hayatuhusu mtajuana wenyewe,tunataka katiba mpya sio ya CCM Wala Cuf na CHADEMA
 
Sijaona mtu akimzongazonga kwa sababu ya uislamu,ninachoona ni kutetewa sana kwa uislamu wake.
Mimi sijawahi na kamwe siwezi kumcredit mtu au kumdiscredit mtu sababu ya dini, kabila, jinsi au rangi.
andishi
 
K
Hivi SSH siyo amirijeshi mkuu wa Tz?
 
Katiba so kwa ajili ya chadema tu Bali kwa wote. The question is "why not CCM , who demand new constitution" wanufaika lazima wapinge kwa nguvu zote.
 
Wazee wa kuomba tende uarabuni.
Si unaona hata ziito kabwe kisa udini hana kelele sana si mnakumbuka hata kpnd cha kikwete

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji15]
 
Maelekezo ya kuwakamata wapinzani na kuwafrem kesi za ugaidi ni maelekezo kutoka state!
Samia hakwepi laana, tupo humu vyomboni na tutavujisha kila kitu tumuaibishe shetani, ifike mahali ccm muheshimu wenye nchi yao(watanzania).

INTERESTING
 
Katiba ya Chadema imewahi kufanyiwa mabadiliko mengi
Labda ulitaka katiba ya CHADEMA iweje kwa mfano?
Unadhani kuna kitu gani kibaya ndani ya katiba ya CHADEMA?
Hivi, mbowe kuwa mwenyekiti all these yrs, Huoni ubaya hapo. Au mkuki kwa nguruwe mtamu
 
You nailed it dude! Hilo ndilo kosa kubwa la karne chadema walifanya. Wakasahau kwamba urais siyo mtu peke yake bali ni taasisi. Rais SSH aliwapa jibu sana, as you pointed out, ilikuwa ni issue ya kumpa muda tu ajiweke sawa ofisini then angekutana nao na wengine wote wenye issues za kuongea. Wao wakamuona ni dhaifu (mtu) wakasahau kwamba nchi inaongozwa kitaasisi. Rais hata angekuwa mpya, mwanamke, kijana au mzee, ni ujinga wa hali ya juu kudhani kuwa huyo mtu ni dhaifu na kwa hiyo na serikali ni dhaifu. Huwezi kutaka kumwendesha rais kama gari bovu, hakuna nchi ya aina hiyo. Mkiwa na serikali ya aina hiyo basi mnaelekea kwenye anarchy. Hatuwezi kuruhusu nchi iangukie kwenye anarchy kwa ajili ya maslahi binafsi ya watu wachache. JPM aliwaweza sana hawa wapuuzi.
 
Eti na sasa yupo motoni, bavicha design kama mko na vinyesi kwa kichwa
 
Naonga mkono upatikana wa Katiba "bora",sio lazima mpya!
But njia walioutumia CHADEMA imekosa adabu, imejaa dharau na majivuni.
Mama yupo sahihi 100%, angekubali matakwa yao tusingemuelewa! Na wasingeishia wangeleta fitna wamtoe madarakani!

Walikuwa wapi miaka yote ya John mpaka leo wakosa subira ndani ya miezi 3?

Walidhani ni kitonga!

Shikeni adabu kwanza akili ikiwakaa sawa tutakaa mezani kwa kuheshimiana!
 




a hana sauti ndio maana wasukuma wanampuuza.
Gwajima anampuuza na watamtoa kaka ya 2025
Hata nch3mba anampuuza mama jumong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…