THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Enemies,
Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,
Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga mkono juhud za mwendazake,kumbe walimuelewa...JPM alikuwa anazungumza lugha ambayo kumbe kwao ilikua inaeleweka...
Baada ya samia Hassan SULUHU kuingia madarakan,wakaja Tena na hoja hiyo akawapa majibu kuwa nimewaskia,give me time nitaifanyia Kaz,nitarudisha uhuru wa habar, demokrasia na pia Soon or later nitakutana na wapinzan tuyazungumze kwa pamoja na kutibu majeraha ya pande zote mbili,, I guess like that was a huge mistake that president SAMIA did,..hawakuilewa lugha ile, instead ndipo wanaanza harakat zao wanazoziita constitution reforms,na mambo mengine mengi kisa wameona huyu alieopo saiz ni weak na ni mwanamke,she's weak kama alivyokawa kikwete ngoja tumuendeshe had ashindwe kuongoza nchi hii,,
Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,
After all chadema hawapo real kwenye HILI suala la katiba,they are not fighting for constitution reforms, instead they are after regime changes tuh,ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa hivi,hii ni kwa maslahi yao tuh,
Kama wanamanisha kweli basi wangeanza na chama Chao kwanza kufanya hizo reforms,kama wameshindwa ndan ya chama Chao kufanya hizo reforms wataanzaje kuwaza katiba ya nchi??
Kama chadema wameamua kumfundisha madam president lugha ambayo wao chadema wanaielewa vyema kama ambavyo walikuwa wanaielewa ile ya marehem JPM basi wazungumze nae hiyo lugha,kukimbilia CNN au BBC haitawasaidia...