Rais hamuamini Makamu wake?

Ndoto za alinacha

haujui hata nani anatwala hii dunia au unafikiri mambo yanatokea tu? raisi wako anashikilia tu nafasi muulizeni ndugu yenu uhuru kenyata na raila odinga kilichowapata na kwa nini wamemshindwa ruto ? Au unafikiri ni ruto ndiye “aliyeshinda” uraisi wa kenya?
 
 
Utakumbuka hii post yangu na Habari zako za vijiweni hizo, 2025 Samia is there to stay.
Quote
 
Utakumbuka hii post yangu na Habari zako za vijiweni hizo, 2025 Samia is there to stay.
Quote
 
Acha kuidhalilisha TEC....

Yaani mtu akiwa muislam wa Sunni basi nguvu yake "BAKWATA"?!!!

Uzwazwa huu ni wa kutoka tumboni kwa mama yako ?!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Puuza!

Wazuri hawafi walipotamka pale Dodoma palichimbika kwanini!!?

Ilifikia hatua hadi wakataka picha ya marehem ndio iwe ukutani eti sio zamu yenu ilitokea Bahati MBAYA tu!!

ACHA kubeza nguvu ya udini kwenye siasa!kamuulize Dr salim Ahmed salim utajua hujui!!au ka niulize lowasa kwanini mlutheri hakupenya japo alipata kura nyingi sana na kuungwa mkono ndani na nje ya CHAMA!!


Jioni njema!
 
Utakumbuka hii post yangu na Habari zako za vijiweni hizo, 2025 Samia is there to stay.
Quote

no way hata yeye anajua na wala hatogombea 2025 ndo maana sasa hivi watu wanaiba kama zote wanajua 2025 ni raisi mwingine isitoshe maraisi wote Duniani hupangwa na kusimikwa madarakani na outsiders, ulishamuona hata akienda ulaya na usa tena kama alivyoingia mwanzoni?
 
Wewe hujielewi. Makamu hufanya kazi anazotumwa na Rais. Sasa kama Rais kaona afanye mwenyewe jukumu fulani ndo kutomwamini makamu? Acha uchonganishi kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…