Rais hatakiwi kulaumiwa kwa mauaji ya Oktoba 29

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,813
Reaction score
3,430
Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha

Katika familia yapo mambo ambayo kiongozi wa familia anawajibika nayo kama mzazi na mengine ni ya wana familia wenyewe ( Watoto)

Kutoa Uhai wa mtu sio jambo jepesi kwakuwa linagusa dhamiri ya mtu,lina mgusa Mungu, linagusa jamii nzima,ile kwamba viongozi wamekupa amri haramu sio lazima uitekeleze.

Una utashi wa kuacha kazi kama unaona unachoamriwa kufanya kina kinzana na Nasfi,dhamiri, jamii na Muumba wako!

Tuwawajibisje Wauwaji,Mambao sasa wametamalaki kibinafsi, Wanaoua ni wauaji na wana Maslahi katika kila wanachofanya, hawamlindi Mama kwa kuua watu, wanajilnda wao na uovu wao

Baniani mbaya, lakini upatu wake apewe

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
 
Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha!

Kutoa Uhai wa mtu sio jambo jepesi kwakuwa linagusa dhamiri ya mtu,lina mgusa Mungu, linagusa jamii nzima,ile kwamba viongozi wamekupa amri haramu sio lazima uitekeleze. Una utashi wa kuacha kazi kama unaona unachoamriwa kufanya kina kinzana na Nasfi,dhamiri, jamii na Muumba wako!
Tuwawajibisje Wauwaji,ambao sasa wametamalaki kibinafsi, Wanaoua ni wauaji na wana Maslahi katika kila wanachofanya,hawamlindi Mama kwa kuua watu,wanajilnda wao na uovu wao.
Baniani mbaya,lakini upatu wake apewe.Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Kama umesahahu Mama ndiye Rais wa nchi, na waliouawa ni wananchi wake.
 
Nakubaliana na wewe mama huna hatia na kama wasingedhibitiwa hadi Leo wangekuwa bado wanachoma Mali za watu na miundombinu ya serikali
 
Kwamba baba au mama anawapa amri au maagizo watoto wake wakubwa wawauwe wadogo zao kwa kosa la kuchoma moto Mali za familia.
Akifikishwa mahakamani anaweza kujitetea "mimi sina kosa, hao waliouwa wangeweza kukataa amri zangu"?
Mkuu umetumia akili kubwa sana kuwaza kiasi kwamba umepitiliza.
 
Wakileta vurugu kipigo , wakitulia hayatatokea , mashekhe waliwaambia mkawaita mashekhe ubwabwa, wale TEC waliokuwa wanachochea moto , wengi hata watoto hawana ..Usionee huruma wajinga , bila ya kile kipigo wangerudia tena na kuleta mazoea .

Ile action yao na hiyo ndiyo reaction, wamepata adabu .Siku nyingine mashekhe wakiongea mtawasikiliza.
 
yale maujaji hayana uhalali wowote ndiyo maana mama yenu anaongoza nchi kama mtu aliyelaaniwa vile na bado zile damu lazima zilipiwe.
 
Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha

Katika familia yapo mambo ambayo kiongozi wa familia anawajibika nayo kama mzazi na mengine ni ya wana familia wenyewe ( Watoto)

Kutoa Uhai wa mtu sio jambo jepesi kwakuwa linagusa dhamiri ya mtu,lina mgusa Mungu, linagusa jamii nzima,ile kwamba viongozi wamekupa amri haramu sio lazima uitekeleze.

Una utashi wa kuacha kazi kama unaona unachoamriwa kufanya kina kinzana na Nasfi,dhamiri, jamii na Muumba wako!

Tuwawajibisje Wauwaji,Mambao sasa wametamalaki kibinafsi, Wanaoua ni wauaji na wana Maslahi katika kila wanachofanya, hawamlindi Mama kwa kuua watu, wanajilnda wao na uovu wao

Baniani mbaya, lakini upatu wake apewe

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Mkuu Bobu, BOB LUSE , naunga mkono hoja ya Rais hatakiwi kulaumiwa kwa mauaji ya Oktoba 29, kwasababu hakuna popote rais kashika bunduki na kumpiga mtu yeyote risasi, kwa vile rais ndie mkuu wetu na ndiye mwenye dhamana, jambo lolote likitokea, hata kama hakufanya yeye personally, lakini anayewajibika kwetu ni yeye, kupitia kitu kinachoitwa fidiciary relationship Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe, hivyo kilichotokea October 29, sio rais, hata mimi nimeandika, The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?
mhusika mkuu wa kwanza wa kuwajibishwa ni yule aliyetoa amri ya shoot to kill!, kwavile mauaji yale yamefanywa na askari wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama, na majeshi yote yanafanya kazi kwa kufuata a chain of command, ilibidi CDF, IGP na DGIS kupisha ofisi zao kumlinda rais, kitendo cha kumekufa watu 518, na mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyewajibika, sisi tuliosoma urusi, tunamjua aliyetoa hiyo order ya kill them ni nani, sasa ili kumsafisha rais, nimeshauri tutumie hata Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!., hizi dilly dallying, hazitasaidia kitu!, na tukiendelea hivi hivi, kuna siku ICC, itabisha hodi Tanzania!.

P
 
Paskali. Kama Kawaida yako, Always uko nje ya boksi, umeua wewe na ukoo wako mbawajibika kwa damu za Watu.Vizuri watu wakipewa nafasi wajue kuna maisha zaidi ya Kazi na una Wajibu wa kulinda nafsi na Dhamiri yako.Hatufanyi kazi kwaajiri ya pesa tu,tunaangalia utu, integrity.Tuki focus kwa Mama,turawaacha Mbweha hawa Wadogo Wakitamalaki kwenye Midhabibu. Mama ana Wajibu na hawa Watekelezaji wa oda za kinyama wana wajibu Mkubwa! Bosi akikosea,ni wajibu wa Msaidizi kumsihi kufanya kilicho sahihi,akikataa ushauri wa HAKI jiuzuru haraka! Mungu atakufungulia mlango mwingine wenye heshima.
 
Back
Top Bottom