Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
.... kavulunda tena.Sehemu pekee ambayo ingemtenganisha na mauaji ni Ripoti ya Jaji Chande… ilikua ndio kete yake ya kutoa Kafara Jini litulie lakini…

Basi tukubebeshe lawama wewe!Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha
Katika familia yapo mambo ambayo kiongozi wa familia anawajibika nayo kama mzazi na mengine ni ya wana familia wenyewe ( Watoto)
Kutoa Uhai wa mtu sio jambo jepesi kwakuwa linagusa dhamiri ya mtu,lina mgusa Mungu, linagusa jamii nzima,ile kwamba viongozi wamekupa amri haramu sio lazima uitekeleze.
Una utashi wa kuacha kazi kama unaona unachoamriwa kufanya kina kinzana na Nasfi,dhamiri, jamii na Muumba wako!
Tuwawajibisje Wauwaji,Mambao sasa wametamalaki kibinafsi, Wanaoua ni wauaji na wana Maslahi katika kila wanachofanya, hawamlindi Mama kwa kuua watu, wanajilnda wao na uovu wao
Baniani mbaya, lakini upatu wake apewe
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Aisee wewe ni Mkuu wa Wilaya au?Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha
Katika familia yapo mambo ambayo kiongozi wa familia anawajibika nayo kama mzazi na mengine ni ya wana familia wenyewe ( Watoto)
Kutoa Uhai wa mtu sio jambo jepesi kwakuwa linagusa dhamiri ya mtu,lina mgusa Mungu, linagusa jamii nzima,ile kwamba viongozi wamekupa amri haramu sio lazima uitekeleze.
Una utashi wa kuacha kazi kama unaona unachoamriwa kufanya kina kinzana na Nasfi,dhamiri, jamii na Muumba wako!
Tuwawajibisje Wauwaji,Mambao sasa wametamalaki kibinafsi, Wanaoua ni wauaji na wana Maslahi katika kila wanachofanya, hawamlindi Mama kwa kuua watu, wanajilnda wao na uovu wao
Baniani mbaya, lakini upatu wake apewe
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Zilaumiwe risasi au siyo?Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha