Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya makosa wote haki itendeke, Mchezo huu urudiwe kwa haki na ukamilifu! Hilo ndilo suluhisho bila kupepesa macho wala kuzunguka mbuyu.
 
IMG-20251120-WA0017.jpg
 
Mjinga yuko Ikulu, mwerevu yuko gerezani. Shida inaanzia hapo.
 
Hotuba yake alikua anawapa ramani Tume, ipitie wapi, imuangalie nani, itoe majibu gani!! Muuaji kamwe hawezi kujichunguza!

Dec 9 Vijana tutoke kwa wingi sana.
 
Angekuwa na akili angewaambia hayo pembeni, yaani ujinga ni kipaji kwakweli.

Composition ya tume yenyewe tu iliifanya kutoaminika, sasa na yeye amekuja kuboronga zaidi.

Lakini ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwakuwa ameamua kuuweka wazi ujinga na uovu wa mtu yule.
 
Back
Top Bottom