Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.

Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.

Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.

Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.

Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuliko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
 
Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.

Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.

Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.

Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.

Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Shetani mkuu amejilalia kwenye kigozi cha kondoo kuzimu
 
Kwani Magufuli alikuwa mkali au alikuwa na jazba? Naona mnalazimisha mama achukue hatua kwa ile approach ya Magufuli, ili ule udhalimu wake usionekana lakini wapi. Zama za utawala wa kikatili umeisha, acha kujifanya unamfurahia mama, wakati ulikuwa ni muumini wa siasa chafu na za kidhalimu.
 
Huyu jamaa ndo alileta lile wazo la kumuua Tundu Lissu!!

Haya majitu kina YEHODAYA ni mafashisti JIWE asingekufa hii nchi ilikua inaingia kwenye fascism
 
Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.

Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.

Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.

Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.

Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Mawaziri Mizigo wasiojielewa wanapaswa watumbuliwe....Hii ni awamu ya kuzinguana tu wasifikiri ya JIWE hapa kazi tu.
 
Tena huyu Yehodaya alikua team Magufuli kindakindaki, alikua anashabikia uonevu,wizi, udhalimu, na ubabe halafu leo hii anajufanya bendera vile, anaangakia upepo unatokea upande gani
Ndio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetu

Sasa hivi mimi team Mama Samia kindaki ndaki una swali lingine?
 
Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.

Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.

Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.

Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.

Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Chawa la utawala wa kimabavu wa mwendazake jiwe.
 
Magu alikuwa mkali sana kutishana tisha kibwege,
 
Ndio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetu

Sasa hivi mimi team Mama Samia kindaki ndaki u a swali lingine?
Hakuna swali, labda tu uendelee kutupatia ufafanuzi wa madudu yaliyoachwa na mwendazake
 
Magu alikuwa mkali wa kifala sana kutishana tisha kibwege,
Staili hazifanani ndio.maana hata sauti tunatofauti wengine sauti yao bass wengine sauti yao nyororo cha msingi kikubwa mambo yaende
 
Hakuna swali, labda tu uendelee kutupatia ufafanuzi wa madudu yaliyoachwa na mwendazake
Hakuna aliye mkamilifu mia kwa mia kila raisi aliyekuwepo aliacha madudu yake kuanzia nyerere .Hata huko upinzani hakuna mkamilifu madudu yako
 
Tatizo mlituaminisha sana kwamba nyie ni malaika mnatetea wanyonge kumbe wezi tu na wabadhirifu

Anyway, speech ya Mama leo imewaumbua sana
 
Ndio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetu

Sasa hivi mimi team Mama Samia kindaki ndaki u a swali lingine?
Ni upuuzi kuwa na msimamo huu ambao unaazaa unafiki na taifa la wajinga wanaosifia sifia tu kila aina ya mbu wanaokuja katika majira tofauti tofauti!
 
Back
Top Bottom