They really need to get prepared very very well cause she is collecting data and credible information. It seems that she is getting a lot of feedbacks and complaints especially from the business community.Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuliko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
You are 100 percent rightThey really need to get prepared very very well cause she is collecting data and credible information. It seems that she is getting a lot of feedbacks and complaints especially from the business community.
Leo nimeahangaa kumbe hata Tanzanite ilikuwa inatoroshwa kama kawa,yaani JPM alitupiga changa la macho sanaWana CCM ni wapigaji, wajiandae haswaa, awamu ya Magufuli tuliaminishwa kwamba hakuna ufisadi, kumbe ndio awamu iliyooza kuliko zote, walituibiwa kwa mgongo wa kutuita wanyonge.
Tulipigwa kwa mgongo wa wanyongeLeo nimeahangaa kumbe hata Tanzanite ilikuwa inatoroshwa kama kawa,yaani JPM alitupiga changa la macho sana