Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,768
- 5,089
Mmemaliza pesa za wastaafu huko PSSSF mpk maza anasema ndio maana hajateua mtu huko maana kuna madudu hatariiii.Hakuna aliye mkamilifu mia kwa mia kila raisi aliyekuwepo aliacha madudu yake kuanzia nyerere .Hata huko upinzani hakuna mkamilifu madudu yako
Jamaa alikua anasimama bila aibu akisema nchi hii ina maheraaaaaa,kumbe anakomba hela za wastaaafu.
Aibu tupu.