Tena huyu Yehodaya alikua team Magufuli kindakindaki, alikua anashabikia uonevu, wizi, udhalimu, na ubabe halafu leo hii anajufanya bendera vile, anaangalia upepo unatokea upande gani.Mmeanza vinega wa ccm amtuliagi kushadadia kila kitu.
Mjinga shubamiti kinega kibopa mrupo kushadadia kila kitu mafioso nyumbu.Ten huyu yehidaya alikua team magufuli kindakindaki, alikua anashabikia uonevu,wizi, udhalimu, na ubabe halafu leo hii anajufanya bendera vile, anaangakia upepo unatokea upande gani
Shetani mkuu amejilalia kwenye kigozi cha kondoo kuzimuRais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Boa tarde!Wana ccm ni wapigaji, wajiandae haswaa, awamu ya Magufuli tuliaminishwa kwamba hakuna ufisadi, kumbe ndio awamu iliyooza kuliko zote, walituibiwa kwa mgongo wa kutuita wanyonge
Huyu jamaa ndo alileta lile wazo la kumuua Tundu Lissu!!Kwani Magufuli alikuwa mkali au alikuwa na jazba? Naona mnalazimisha mama achukue hatua kwa ile approach ya Magufuli, ili ule udhalimu wake usionekana lakini wapi. Zama za utawala wa kikatili umeisha, acha kujifanya unamfurahia mama, wakati ulikuwa ni muumini wa siasa chafu na za kidhalimu.
Ibilisi mkuu kaondoka wapagazi wake mmebaki vinywa waziWashakua sugu hata wakitumbuliwa hawasikii maumivu tena!
Mawaziri Mizigo wasiojielewa wanapaswa watumbuliwe....Hii ni awamu ya kuzinguana tu wasifikiri ya JIWE hapa kazi tu.Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Ndio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetuTena huyu Yehodaya alikua team Magufuli kindakindaki, alikua anashabikia uonevu,wizi, udhalimu, na ubabe halafu leo hii anajufanya bendera vile, anaangakia upepo unatokea upande gani
Chawa la utawala wa kimabavu wa mwendazake jiwe.Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Magu alikuwa mkali sana kutishana tisha kibwege,Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuñiko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Hakuna swali, labda tu uendelee kutupatia ufafanuzi wa madudu yaliyoachwa na mwendazakeNdio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetu
Sasa hivi mimi team Mama Samia kindaki ndaki u a swali lingine?
Hakuna aliye mkamilifu mia kwa mia kila raisi aliyekuwepo aliacha madudu yake kuanzia nyerere .Hata huko upinzani hakuna mkamilifu madudu yakoHakuna swali, labda tu uendelee kutupatia ufafanuzi wa madudu yaliyoachwa na mwendazake
Tatizo mlituaminisha sana kwamba nyie ni malaika mnatetea wanyonge kumbe wezi tu na wabadhirifuHakuna aliye mkamilifu mia kwa mia kila raisi aliyekuwepo aliacha madudu yake kuanzia nyerere .Hata huko upinzani hakuna mkamilifu madudu yako
Ni upuuzi kuwa na msimamo huu ambao unaazaa unafiki na taifa la wajinga wanaosifia sifia tu kila aina ya mbu wanaokuja katika majira tofauti tofauti!Ndio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetu