Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,768
- 5,089
Mmemaliza pesa za wastaafu huko PSSSF mpk maza anasema ndio maana hajateua mtu huko maana kuna madudu hatariiii.Hakuna aliye mkamilifu mia kwa mia kila raisi aliyekuwepo aliacha madudu yake kuanzia nyerere .Hata huko upinzani hakuna mkamilifu madudu yako
Kweli lakini sauti hizo zitumike kwa hekma ukijua unaoongea nao ni binadamu wanahitaji heshima na hiyo ndiyo sifa ya kiongoziStaili hazifanani ndio.maana hata sauti tunatofauti wengine sauti yao bass wengine sauti yao nyororo cha msingi kikubwa mambo yaende
Ndio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetu
Sasa hivi mimi team Mama Samia kindaki ndaki u a swali lingine?
Usichanganye Madudu na udhalimu, wakina JK wote watu wamewapoteza sio kwakuwa walikuwa wasafi, bali walikuwa na utu. Huyo boya wenu alikuwa anajifanya nabii sijui falsafa uchwara, huku akiendesha vikundi vya uhalifu ndani ya nchi ili asujudiwe. Na nyie aliokuwa amewapa kazi ya kuua wananchi wasiokubaliana na falsafa zake za kipuuzi, ndio mkaona mmepatia kweli. Alikuwa anajifanya mzalendo, leo hii hayupo aliyeingia anaonyesha kulikuwa na madudu kibao. Kama kulikuwa na Madudu kipi kilikuwa kinamfanya aue watu na kufungia vyombo vya habari wakati sio muadilifu?Hakuna aliye mkamilifu mia kwa mia kila raisi aliyekuwepo aliacha madudu yake kuanzia nyerere .Hata huko upinzani hakuna mkamilifu madudu yako
Ndiyo ujue mataga hamna wanachojua zaidi ushabikiTena huyu Yehodaya alikua team Magufuli kindakindaki, alikua anashabikia uonevu, wizi, udhalimu, na ubabe halafu leo hii anajufanya bendera vile, anaangakia upepo unatokea upande gani.
Hamna lolote ni unafiki tuNdio nilikuwa timu Magufuli kindaki ndaki na viongozi wote waliopo walikuwa team Magufuli kindaki ndaki kaja mwingine tunahamia kambi yake ndivyo CCM tulivyo jadi yetu
Sasa hivi mimi team Mama Samia kindaki ndaki una swali lingine?
Alafu hizi ni ID mpya zimekuja kimkakati kwa ajili ya kuponda na kusifu...Tatizo mlituaminisha sana kwamba nyie ni malaika mnatetea wanyonge kumbe wezi tu na wabadhirifu
Anyway, speech ya Mama leo imewaumbua sana
Kama angeanza na Nssf angekuwa amewaondolea wachangiaji matatizo na Msongo wa MawazoRais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuliko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Samia aturuhu tuwaue nyie mafashisti ili tumalize mbegu yenu kabisaHakuna aliye mkamilifu mia kwa mia kila raisi aliyekuwepo aliacha madudu yake kuanzia nyerere .Hata huko upinzani hakuna mkamilifu madudu yako
Acha ushenge hizo feza ziliondoka toka awamu ileee usiwe unakurupuka kama niniiMmemaliza pesa za wastaafu huko PSSSF mpk maza anasema ndio maana hajateua mtu huko maana kuna madudu hatariiii.
Jamaa alikua anasimama bila aibu akisema nchi hii ina maheraaaaaa,kumbe anakomba hela za wastaaafu.
Aibu tupu.
Chadema mlimtushia kibwege sana Kikwete mkajifanya wababe kwake mara kuongoza migomo.ya madaktari mara maandamano nk Halafubmkabweka ohhh Raisi mwenyewe kutwa kucheka cheja tu tRaisi anatakiwa kuwa setipus CCM tukaona ujinga ubabe uwe ubabe tu tukawaletea Maguguli mbabe anayawaweza na aliwakomesha barabara hamba hamuMagu alikuwa mkali sana kutishana tisha kibwege,
Cheki ulivyo kuzi.Acha ushenge hizo feza ziliondoka toka awamu ileee usiwe unakurupuka kama ninii
Kwa unafiki hujambo!Rais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuliko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
You may be right or wrongAlafu hizi ni ID mpya zimekuja kimkakati kwa ajili ya kuponda na kusifu...
Awahondoe Wasukuma kwanzaRais hilo alilosema kuwa ataongea na sekta moja moja kuna watu wajiandae kutumbuliwa.
Kila mtendaji awe anajua kero za wananchi wanazoilalamikia taasisi yake ni zipi na amezitatuaje? Akishindwa kujibu atafungashwa virago sababu Rais ataenda huko akiwa na taarifa zote.
Aliposema nendeni mkawe wabunifu na mfanye maamuzi kama yako yanawashinda tuleteeni juu tuyafanyie maamuzi juu hatanii.
Kitengo cha Passport ni moja ya vitengo ambavyo vinatakiwa vijiandae.
Namuona Rais huyu kuwa ni mkali kuliko Magufuli ila sauti yake ya upole lakini uliojaa ukali wa kupindukia.
Mungu fundi, ndiyo maana akaingilia katiHuyu jamaa ndo alileta lile wazo la kumuua Tundu Lissu!!
Haya majitu kina YEHODAYA ni mafashisti JIWE asingekufa hii nchi ilikua inaingia kwenye fascism
shenge wa Mombasa ww....Cheki ulivyo kuzi.
Awamu ya JK kuna mstaafu yoyote yule aliwahi kukaa miaka 4 bila kulipwa mafao yake?Awamu ya mtakatifu wenu ndipo ilianza tabia ya kuwalipa watumishi mafao yai robo afu mengine anatulizwa miaka ya kutosha.
Mmeiba pesa huko kwny mifuko ya watumishi afu mnakuja kubwatuka nchi hii ina mahera mengi sanaaaaaa.
Endelea kulamba kalio hapo bwana mdogo.
Njoo nikumwagie protin mdomoni uache kulia lia mtoto mzuri.shenge wa Mombasa ww....
hujielewi
Hahaa nshakukula nimekumaliza ....Mama Unataka kupanuliwaaaaaaa.....
Haya kaa na mavi yakoooooooooooo...
Vuta bangi hadharani haya ndio madhara ya kuvutia chooni!Ibilisi mkuu kaondoka wapagazi wake mmebaki vinywa wazi