Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

mwenzako kapewa urais na anapinga we kajamba nani povu la nini?
 
Mjibu Mwinyi. sio mimi aiaee
 
Huwezi kwenda Hija Saudi Arabia bila chanjo,Hija ni moja katika nguzo za uislamu,chanjo ni lazima hakuna njia nyingine.
Mimi nafikiri wangeweka kwamba hauwezi kuingia msikitini bila chanjo hapo ndio wangepata wengi ila hili la Hijja ni kwa wenye uwezo na kuna watu japo uwezo wanao ila hawana mawazo ya kwenda hijja.
 
Hutaki hama nchi urudi kwenu Rwanda
 
Mimi nafikiri wangeweka kwamba hauwezi kuingia msikitini bila chanjo hapo ndio wangepata wengi ila hili la Hijja ni kwa wenye uwezo na kuna watu japo uwezo wanao ila hawana mawazo ya kwenda hijja.
Wewe nani?
Ndiyo ishaamuliwa hivyo funga midomo yako hiyo
 
Mwinyi kaact mapema ili wale wanaoplan kwenda kuhiji Marca wasijelaumu.

Again, chanjo ile ni hiari na watu hawatodungwa kwa nguvu japo huko tuendako huenda ikawa mandatory kwa wasafiri nje ya Nchi kama ilivyo chanjo ya Yellow Fever
 
Halafu wazungu vijana wanastruggle sana kuipata hii chanjo,, kwani bado inatolewa kwa upendeleo wa umri na wenye complications.
Mi nipo hapa ulaya nimefight kuipata lakini matumaini ni zero. Nilitaka nichanje kabla sijarudi Tz mwezi wa 8.
Sina uhakika home chanjo zitatolewaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…