Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

Achana na maswali
Point ni kuwa Kuchanjwa si lazima kuwe na mlipuko nchini. Nchi inaweza isiwe na corona lakini raia wakachanjwa kujikinga na corona hivyo usishangae raisi kutovaa barakoa au raia kujiachia halafu raisi wao akawaambia kutakuwa na chanjo ya ugonjwa ambao wewe huoni kama upo nchini.
Umesema niachane na maswali basi itabidi niatizame tu maelezo yako.
 
Wacha Sukuma Gang waendelee kubwabwaja wakati dunia inasonga mbele!

Acha ujinga, Rais wa Tanzania na Zanzibar wamewekwa kwa kiasi kikubwa na msio mpenda.

Wamewezeshwa kukaa pale. Ulinzi na Usalama unazingatiwa.
 
Acha ujinga, Rais wa Tanzania na Zanzibar wamewekwa kwa kiasi kikubwa na msio mpenda.

Wamewezeshwa kukaa pale. Ulinzi na Usalama unazingatiwa.
K wewe! Unadhani wote wanamsujudu shetani mtu wenu!
 
Na awe mstari wa mbele kudungwa chanjo, asiwaingize wengine kingi...
 

Denmark reports a death and a critical illness after 2 AstraZeneca vaccinations, prompting more reviews.​

Image
Vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine at a regional vaccine center in Copenhagen.

Vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine at a regional vaccine center in Copenhagen. Credit...Pool photo by Liselotte Sabroe
By Thomas Erdbrink, Marc Santora, Denise Grady and Rebecca Robbins
  • March 20, 2021

Denmark reported on Saturday that two people had experienced brain hemorrhages after receiving the AstraZeneca Covid-19 vaccine, one of whom died. The Danish Medicines Agency said it was looking into whether the condition was a potential side effect.

A spokesperson for the Capital Region of Denmarkconfirmed the death, and the Danish Ritzau news agency reported that the other person, a female civil servant in her 30s, was critically ill.
Millions of people in dozens of countries have received the AstraZeneca Covid-19 vaccine with few reports of ill effects, but the European Medicines Agency, the continent’s top drug regulator, conducted a review after several countries paused the use of the vaccine. On Thursday, the agency said that it considered the vaccine safe, although it would continue to watch for any connections to blood disorders. It noted that any threat would be very small, and that the shots will prevent vastly more deaths than they might cause.
Recent blood clots and abnormal bleeding in a small number of vaccine recipients in European countriesraised questions about its safety, and prompted the suspensions. That created a disruptive pause in vaccination campaigns this week, even as some European countries were entering a third wave of infections.
 
Back
Top Bottom