Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Mbona hujawai kushituka serikali kila mwaka inatoa ruzuku kuyapa makanisa mabilion ya pesa ? Tangu miaka ya 90+ baada ya mkataba wa Mou
 
Nasisitiza Rais Mwinyi ameanza kujisahau.
Anafikiria popular politics kuwaridhisha wazenj at the expense ya watanganyika.
Kwa vile walichomfanyia Mzee Shamte na jinsi alivyongea kumjibu Makamu wake ..... kwa kweli nimeondokewa na imani naye. Nilikuwa nampa benefit of doubt kuwa labda anaweza kuwa ni kiongozi mzuri ...... Nimeeamini siyo rahisi mtoto wa Kiongozi wa juu kuja kuwa kiongozi bora maana wamezoeshwa tabia fulani ambayo inwafanya wawe na kiburi, majivuno au kuaamini wao wamezaliwa kuwa viongozi .....!!
 
JKN alikosea sana kuacha zenji alitakiwa afyekelee mbali kabisa zenji..ibaki serikali moja tu..hawa watu wameanza kua mwimba ndani ya muungano wetu.

#MaendeleoHayanaChama
Si umfuate ukamwambie unakatika maini Bure??
 
Kwani govt wamezikanusha Na kutoa zao?
Sio kazi ya serikali kukanusha kila kitu ni kupoteza muda hazina mashiko ndugu. Huko ni kupoteza wakati Serikali haina huo muda wa kupoteza kwajibu wanasiasa.
 
Wewe umeleta data?
Wewe ndie ulie quote za Zitto, mimi nakueleza data za Zitto sio halisia naona hunielewi. Narudia leta data za serikali kutetea hoja yako. Huu si ubishi wa simba na yanga mzee.
 
Ulielewa au japo kusikia alichosema na kumaanisha au unapuyanga tu? Kuna waliosema mapato ya serikalini wakristo wachangie pale???
 
Sio kazi ya serikali kukanusha kila kitu ni kupoteza muda hazina mashiko ndugu. Huko ni kupoteza wakati Serikali haina huo muda wa kupoteza kwajibu wanasiasa.
i
Sio kazi ya serikali kukanusha kila kitu ni kupoteza muda hazina mashiko ndugu. Huko ni kupoteza wakati Serikali haina huo muda wa kupoteza kwajibu wanasiasa.

Ni kweli wanaposhindwa hoja husema maneno hayo uliyoandika kwamba hawajibu kila kitu , hawana muda
 
Wewe ndie ulie quote za Zitto, mimi nakueleza data za Zitto sio halisia naona hunielewi. Narudia leta data za serikali kutetea hoja yako. Huu si ubishi wa simba na yanga mzee.
Kwani serikali inakuwa Na muda wa kutoa data ?
 
Sikuwahi kudhani Mwinyi hana busara kiasi hicho

Hakuna sababu yoyote ya kuligawa taifa kwa itikadi za kidini.Serikali haiwezi kugharamia masuala imani ya mtu binafsi.
 
Sikuwahi kudhani Mwinyi hana busara kiasi hicho

Hakuna sababu yoyote ya kuligawa taifa kwa itikadi za kidini.Serikali haiwezi kugharamia masuala imani ya mtu binafsi.

Mwinyi hana dini huyo , usione kuingia misikitini, hizo ni danganya toto, Muislamu hawi mbele kutoa roho Za waislamu wenzake kwa tamaa ya uongozi
 
Sikuwahi kudhani Mwinyi hana busara kiasi hicho

Hakuna sababu yoyote ya kuligawa taifa kwa itikadi za kidini.Serikali haiwezi kugharamia masuala imani ya mtu binafsi.
Anaona yeye na mama chama kimoja, dini moja na ni wazanzibari hivyo lolote wanaweza kulifanya bila pingamizi.
 
Kwani serikali inakuwa Na muda wa kutoa data ?
Data nyingine zipo wazi kwenye web-sites za serikali nyingine ni za kutafuta, tusilete data ambazo sio official na kuzijengea hoja period.
 
Data nyingine zipo wazi kwenye web-sites za serikali nyingine ni za kutafuta, tusilete data ambazo sio official na kuzijengea hoja period.
Ndiyo nilikuambia ulete wewe hizo data Kama kweli serikali wanazo
 
Tena kodi zetu zingine zinatokna na mauzo ya vileo ambavyo wao hawavitaki viwe sehemu ya mapato ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…