mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
Mbona hujawai kushituka serikali kila mwaka inatoa ruzuku kuyapa makanisa mabilion ya pesa ? Tangu miaka ya 90+ baada ya mkataba wa MouNimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?