Sioni uhalisia na unachokisema leta data hapa, usiupoteshe umma. Wao wanakusanya kodi yao na wala haiwatoshi Bara wanawasaidia.Kiasi ujambe hivyo kwani mapato yote ya bait la jaibu Na sehemu Za historia Zanzibar yanapelekwa Tanganyika Na Pia pesa Za viza zote Za wanaingia Airport Na bandarini zinakwapuliwa Na Tanganyika pesa Za Wazanzibari walioko nje zinaingia Tanganyika nk
Data za Zito hazina uhalisia, bring data from the GOV.
Suala la kwenda kuhiji Israel halimo kwenye bibleMimi mwenyewe Nina ndoto ya kwenda Israel kuhiji, ikitokea tuu kuna mfuko huo kuundwa basi nasisi pia wengine tuundiwe. Lakini hili si nisuala binafsi kuhiji! Wawe wanakopa kwenye BANK watalipa taratibu mara baada ya kurudi kutoka mecca
Na wewe unasemaje huyu anayelipwa mshahara na pesa za kodi kufanya haya?Wewe mwarabu hayo yote kama hayapo zenji..nakushauri nenda oman utayapata yote.
#MaendeleoHayanaChama
Sheikh, kwani Kuna shida wakijadiliana?Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Zanzibar siyo nacho ya kiislaamu ingawa, inadi kubwa ya wa Isilaam.Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Kama ni hivyo wafanye waisilamu sio kuwachangisha na wasio waisilamuHakuna hija isipokuwa kwenye uislamu
Walipaswa wajadiliane tu wala tusiletewe public maana halina afya kwa taifaSheikh, kwani Kuna shida wakijadiliana?
Hiyo ndiyo huitwa haki sawa wanayoihubiri kafHuwezi kutaka kitu tu kwa vile mwenzio wmekihitaji. Huo unakuwa ni tamaa na wivu wa kijinga.
Sheikh mswalie mtume, kauli ya kihafidhina hiyo aseee!.Huyo Si Raisi ni tapeli kibaraka aliyewekwa Na Magufuli kuimaliza Zanzibar , alianza Na magarini ya kujitia misikitini kuzubaisha watu lakini ummar umeshamstukia. Siku zake zinahesabika ataondoka Tu muuwaji huyo
Hatutaki msaada,tunata kujing'amua kutoka katika kuomba misaada kutoka Tanganyika,misaada ambayo kwa ukweli ni haki yetuMnacho kata ni misaada tu lini nyie mtajisaidie..lazy piece of..
Ndio mana kila siku kulia lia.
#MaendeleoHayanaChama
Ametaka kibali sio pesaSheikh, kwani Kuna shida wakijadiliana?
Usistushwe na sisi wakristo tutaomba mfuko wa kutusaidia kwenda JerusalemNimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Kama ni haki yenu kwa nini muombe maana malalamiko yalikuwa waisilamu kukabiliwa na hali ngumu kiuchumi na kushindwa kumudu gharama za kwenda hija hivyo kuiomba serikali iwapunguzie makali sasa hapo ukisema hutaki misaada hiki tuiteje kama sio msaadaHatutaki msaada,tunata kujing'amua kutoka katika kuomba misaada kutoka Tanganyika,misaada ambayo kwa ukweli ni haki yetu
Hicho kibali cha nini si ni nchi huru wajichangishe ninachohisi wanataka serikali itenge hela za kuendesha hija ya waisilamu ZanzibarAmetaka kibali sio pesa
Ulitaka aende kipindi kile akiwa afisa kilimo ndio moyo wako ungeridhika ama?
Dawa ya haya mazonge hususan kuhusu hii omba omba inayofanywa na Zanzibar ni kuipa Zanzibar mamlaka yake kamili..Kama ni haki yenu kwa nini muombe maana malalamiko yalikuwa waisilamu kukabiliwa na hali ngumu kiuchumi na kushindwa kumudu gharama za kwenda hija hivyo kuiomba serikali iwapunguzie makali sasa hapo ukisema hutaki misaada hiki tuiteje kama sio msaada
Icho kitu hakiwezekani,bila ya Zanzibar hakuna CCMJKN alikosea sana kuacha zenji alitakiwa afyekelee mbali kabisa zenji..ibaki serikali moja tu..hawa watu wameanza kua mwimba ndani ya muungano wetu.
#MaendeleoHayanaChama