Tangu Samia Suluhu Hassan kaitangaza Tanzania kwenye Utalii,cha kushangaza ni kuwa ndege nyingi za Watalii zinatua Zanzibar kuliko Tanganyika..Mapato ya kuuza urojo yanatosha kweli?
Hizbu ni neno la kiarabu lenye maana ya CHAMA..,kwa hiyo ukisema hizbu bila ya kuunganisha neo unakuwa hujasema kitu..Hizbu..mbona mnachuki sana mioyoni mwenu.
#MaendeleoHayanaChama
Serikali ya Muungano ndio serikali Tsnganyika, Zanzibar inatawaluwa na Tanganyika, hawezi kufanya chochote bilia ruhusa ya bwana wake Tanganyika (Muungano).Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Ulojo=urojo,jivundishe kutafautisha baina ya herufi R na L..Wala ulojo wazembe sana
Ndivyo walivyokufunza?Hakuna hija isipokuwa kwenye uislamu
Hapana kumbuka Zanzibar ni koloni la TanganyikaHicho kibali cha nini si ni nchi huru wajichangishe ninachohisi wanataka serikali itenge hela za kuendesha hija ya waisilamu Zanzibar
Usijibu kwa hasira ok sawa ni nchi gani Vatican?Ndio ni nchi kwa hiyo?
labda ni hilo la Rais kuomba ruhusa kuwafanyia wananchi wake jambo lisilohusika na muungano.Kilichokushtusha nini kwa hapo?
Zanzibar si nchi ya kiisilamu, haijawahi na haitakuwa labda nje ya muungano.Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Ukuta ni kwa wale wanaofata dini ya KIYAHUDI sio kwa Wale wanaofata dini ya Yesu aka Jesus aka isa aka Joshua aka Christ aka Mungu aka Mtoto wa Mungu..Waanzishe na mfuko wa kwenda Yerusalem kwa wakristu kuuona ukuta
Nasisitiza Rais Mwinyi ameanza kujisahau.Off course inashtua. Serikali kughalamikia safari binafsi ..... Na Waroma ambao huwa wanakwenda kuhuji Roma nao wakiomba wawezeshwe itakuwaje ......!!?
Waislamu wanatakiwa kwenda Hijja pale wanapokuwa uwezo huo .... Kama huna unabanana humuhumu. Hili la kuwawezeshana litatarget watu wachache tu na siyo sustainable. Anataka kujipatia umaarufu bila sababu ya maana .....!!
Kama anataka kibali cha kujiunga na OIC awe wazi tu maana baba yake alitaka kufanya hivyo kabla ya kuzuiwa na Mwl. NyerereNimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Mapato yapi ya muungano?Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Kama wewe ulimchagua sawaSheikh mswalie mtume, kauli ya kihafidhina hiyo aseee!.
Ndiyo au lete ushahidi wa biblia wa wakristo kuamrishwa kufanya hija