Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani.
Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi ndani ya chama chake. Kwa uchache nimekwama kumfananisha na yeyote bara au visiwani kwa nafasi ya Rais wa JMT baada ya Mama Samia kukamilisha ngwe yake ya pili.
Aidha kwingineko Freeman Aikael Mbowe is now Presidential material, he can be branded and his party members should assemble behind him. Jamaa ni Mustahimilivu mno and he has something to offer to this country, hana misimamo isiyo na tija na wala haringi wala kujivunga. He can also make a very strong opposition leader than before and than anyone in his party.