zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Dkt.Janabi alisema haina shidaHivi haziwezi kukutana zikaanzisha jambo geni mwilini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dkt.Janabi alisema haina shidaHivi haziwezi kukutana zikaanzisha jambo geni mwilini?
Haina madhara mkuu msipotoshe.... Dkt.Janabi alishajibu hili.Kweli kuchanjwa mara ya pili chanjo ya aina nyingine hapo wanawafanyia utafiti wazanzibar kama kuna effect kwa kuchanja mara mbili.
Elewa tu kuwa Hijja katika Uislam haifanyiki nyumbani kwa mtu. Kisharia katika Uislam Hijja ni tofauti na unavyoielewa wewe. Maana yake ya Kisharia ni tofauti na maana yake ya kilugha. Kama vile neno "Swala" maana yake ya kilugha (kama wanavyotumia waarabu kilugha) ni tofauti na maana yake ya Kisharia katika Sharia ya Uislam. Vile vile "Zakat" na maneno mengineyo katika Uislam.Nipe maana hijja. Kufupisha ukiniambia ni maombi,basi nyumbani sehemu yenye utulivu MUNGU anakusikia zaidi kuliko sehemu ingine.
Pole sana.Ni masikitiko kwamba watu watakuja kujua ukweli when it is too late. HII SI CHANJO. UNAPOIHESABU KUWA NI CHANJO WAMESHAKUPATA TAYARI. Hii ni gene therapy yenye lengo la kutengeneza toleo la pili la wanadamu - HUMAN 2.0. among other reasons.
Garasa tu lile hamna kitu.Pamoja na taaluma yake ya udaktari?
Alifanya utafiti lini kujua haina madhara? Wapendwa afya za watu siyo kura, siasa tuiweke kando kwenye uzima wa mtu...Akifa au akioata madhara anayeumia ni ndugu zake...Haina madhara mkuu msipotoshe.... Dkt.Janabi alishajibu hili.
Kwanza acha kelele, pili lazima ujue siasa za dunia, Kwenye siasa za dunia namba moja ni marekani na washirika wake, Namba 2 ni urusi na china,Mimi binafsi siipendi CCM kabisa, Ila kuna baadhi ya viongozi kidogo naona wana afadhali mmojawapo ni Hussein Mwinyi.
Raisi Mwinyi ni kiongozi mzuri sana, lakini hii haifanyi yeye kutotenda makosa. Raisi Mwinyi wakati wa kuagiza chanjo ya corona aliwahakikishia Wazanzibar kuwa chanjo wanayoleta ni salama sana hivyo wasiwe na wasiwasi wowote.
Akaenda mbali na kusema wameamua kuagiza chanjo kwa kuwa kuna watu wanahitaji kwenda "hijja", hivyo ni lazima walete chanjo watu wachanje waende hijja.
Alisisitiza sana kuwa kwenda hijja kuna vikwazo kwa wasiochanjwa hivyo chanjo hizi zitafanya Wazanzibar kwenda hijja bila kikwazo. Leo serikali hii hii imetoa taarifa kuwa waliopata chanjo wanapaswa tena kuchanja kwa kuwa chanjo waliochanja mwanzo haitambuliki huko Saudi Arabia.
Haya ni masihara kabisa kwenye afya za watu, ilipaswa kabla ya kuagiza chanjo ilipaswa Serikali ijiridhishe. Leo unawaambia watu warudie kuchanjwa chanjo nyingine tofauti na Sinovac, ikiwa mwanzo ulitumia kigezo cha hijja ili wakubali kupata chanjo.
Haya ni makosa makubwa ambayo Rais umeyafanya, inapaswa uwaombe radhi wote waliopata chanjo.
Kwa kuwa kama chanjo waliyopata haitambuliki sehemu takatifu Kama Makka, je usalama wa hiyo chanjo upo wapi?
sababu gani?Pole sana.
Kosa lipo wapi? Zanzibar walianza kutoa chanjo mwezi July, wakati Saudi Arabia ilitoa tangazo la kuanza Umrah mwezi August. WHO waliwahi kutangaza kuruhusu Sinovac for emmergency use. UNICEF na wenyewe walikuwa wanasambaza hiyo chanjo!! Hata baadhi ya nchi za Ulaya hususani zile zisizo na elements kali za Kibeberu, na zenyewe zinaitambua Sinovac! Nchi nyingi za Asia zinatumia Sinovac!Alisisitiza sana kuwa kwenda hijja kuna vikwazo kwa wasiochanjwa hivyo chanjo hizi zitafanya Wazanzibar kwenda hijja bila kikwazo. Leo serikali hii hii imetoa taarifa kuwa waliopata chanjo wanapaswa tena kuchanja kwa kuwa chanjo waliochanja mwanzo haitambuliki huko Saudi Arabia.
Haya ni masihara kabisa kwenye afya za watu, ilipaswa kabla ya kuagiza chanjo ilipaswa Serikali ijiridhishe. Leo unawaambia watu warudie kuchanjwa chanjo nyingine tofauti na Sinovac, ikiwa mwanzo ulitumia kigezo cha hijja ili wakubali kupata chanjo.
Haya ni makosa makubwa ambayo Rais umeyafanya, inapaswa uwaombe radhi wote waliopata chanjo.
Saudi Arabia on Tuesday approved two further COVID-19 vaccines, Sinovac and Sinopharm. There are currently four vaccines approved for use in the Kingdom: Oxford-AstraZeneca, Pfizer-BioNTech, Johnson & Johnson, and Moderna.
Tafiti mbona zimefanywa toka mwaka jana.... Clinical trials mbona zilikua public na zilianza kwa hospitali ya kiyahudi!!Alifanya utafiti lini kujua haina madhara? Wapendwa afya za watu siyo kura, siasa tuiweke kando kwenye uzima wa mtu...Akifa au akioata madhara anayeumia ni ndugu zake...
Kwa kuwa mfuasi wa Conspiracy Theories!!Kwa
sababu gani?
Nani huyo unayehoji "ALIFANYA" utafiti lini?!Alifanya utafiti lini kujua haina madhara? Wapendwa afya za watu siyo kura, siasa tuiweke kando kwenye uzima wa mtu...Akifa au akioata madhara anayeumia ni ndugu zake...
Sio hivyo Chifu! ZNZ mwanzoni kabisa walitumia chanjo ya Mchina. Wakati ZNZ wanatumia hii chanjo, Saudi Arabia walikuwa hawajatoa angalizo la kuingia nchini humo. Siku chache baadae, ndipo Saudi Arabia ikatangza muongozo, na chanjo ambazo Saudi wameziidhinisha ni zile za USA including Johnson & Johnson lakini ya Mchina haipo!Kweli kuchanjwa mara ya pili chanjo ya aina nyingine hapo wanawafanyia utafiti wazanzibar kama kuna effect kwa kuchanja mara mbili.
Mimi binafsi siipendi CCM kabisa, Ila kuna baadhi ya viongozi kidogo naona wana afadhali mmojawapo ni Hussein Mwinyi.
Raisi Mwinyi ni kiongozi mzuri sana, lakini hii haifanyi yeye kutotenda makosa. Raisi Mwinyi wakati wa kuagiza chanjo ya corona aliwahakikishia Wazanzibar kuwa chanjo wanayoleta ni salama sana hivyo wasiwe na wasiwasi wowote.
Akaenda mbali na kusema wameamua kuagiza chanjo kwa kuwa kuna watu wanahitaji kwenda "hijja", hivyo ni lazima walete chanjo watu wachanje waende hijja.
Alisisitiza sana kuwa kwenda hijja kuna vikwazo kwa wasiochanjwa hivyo chanjo hizi zitafanya Wazanzibar kwenda hijja bila kikwazo. Leo serikali hii hii imetoa taarifa kuwa waliopata chanjo wanapaswa tena kuchanja kwa kuwa chanjo waliochanja mwanzo haitambuliki huko Saudi Arabia.
Haya ni masihara kabisa kwenye afya za watu, ilipaswa kabla ya kuagiza chanjo ilipaswa Serikali ijiridhishe. Leo unawaambia watu warudie kuchanjwa chanjo nyingine tofauti na Sinovac, ikiwa mwanzo ulitumia kigezo cha hijja ili wakubali kupata chanjo.
Haya ni makosa makubwa ambayo Rais umeyafanya, inapaswa uwaombe radhi wote waliopata chanjo.
Kwa kuwa kama chanjo waliyopata haitambuliki sehemu takatifu Kama Makka, je usalama wa hiyo chanjo upo wapi?
hahahahhamjini Magharibi
Hivi windows ukitaka ku update si inabidi ku restart PC sasa hapa inakuajeNendeni mkapigwe jab nyingine mkuu...
Maana sasa hivi kuna hadi boosters, yaani una update chanjo ya awali kupambana na vinyemelezi vipya...
Aliyesema zikichanganywa hazina madhara?Nani huyo unayehoji "ALIFANYA" utafiti lini?!
Kwahiyo ikiwa hiari hatutakiwi kujua kama kuna madhara au la? Maana kama zote zinafaa na hawa wanakataliwa kwamba wanahitaji ya aina nyingine kisha mtu kauliza je hazina madhara zikichanganywa unaambiwa aliyesema ni mtaalamu kwani aliye recommend ile ya kwanza hakuwa mtaalamu?Tafiti mbona zimefanywa toka mwaka jana.... Clinical trials mbona zilikua public na zilianza kwa hospitali ya kiyahudi!!
Dkt. Janabi ni mtaalamu hilo halina shaka, sasa kama hatuwezi kuwaamini wataalamu wetu wa afya ila tuwaamini wanasiasa wapiga kelele wasio na degree ya afya then tutakua taifa la ajabu sana.
Kikubwa chanjo ni hiari kma huiamini basi acha ila kutishana hakufai.