Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

Hatimaye kaamua kuwa jasiri muongoza njia
 
Hamia Zanzibar sasa

Atapata sehemu ya kujifukiza kwenye hospitali ya mnazi mmoja? Aache huku kwenye huduma ya tiba ya kujifukiza hapa muhimbili aende huko?
 
Nakuunga mkono, alitangaza akiwa kagera nadhani ndio hapo watu wakaanza kuchukua tahadhali za wazi wazi.
 
Mwinyi naye ameanza kutoa hotuba misikitini. Duh
 
Hakuwa kada wa CCM yule wa Moshi aliyewalazimisha wajumbe wavue barakoa kwenye kikao cha baraz la madiwani akidai manispaa hiyo ni salama na hakuna korona?
Aliwalazimishaje watu wazima kuvua barakoa wakati suala la afya ni la mtu binafsi. Wao walishindwaje kushikilia msimamo wao?
 
Hakuna Kiongozi yeyote alyekataa uwepo wa covid19
 
Uko sahihi,
Hata baada ya kua Rais humsikii Mwinyi akiwaponda Wapinzani au kuwananga. Wana siasa za tofaut sana hawa wawili.
Civilized na educated like uhuru.Waliokulia ikulu hawana shida ya uongozi
 
Wengi wao walivaa barakoa tulifatilia na ambao hawakuvaa ni wale manyumbu ambao wao hadi wasikie mkuu amesema wavae ndo watavaa hata kama wanaona kabisa kuna vifo vingi.
 
Kwani hao waliopewa chanjo corona unadhani haiwwpati.au unadhani ukipata hyo chanjo ndo umemaliza kila kitu?
hapa duniani tunatakiwa tubaki watu Bilioni 1.
Usidhani unavyoletewa hyo chanjo mzungu anakupenda sana.inawesekana ikakutia UHANITHI USIZALISHE.
Kwani Mimi nimesema nafuata dawa? Nimesema nafuata chanjo
 
Mkuu hebu nifafanulie njia gani iliyotumiwa na Tanzania kujilinda na covid tofauti kabisa na mataifa mengine ya ulimwengu.Maana sisi ndo wananchi tupo mitaani hatuoni hatua za kisayansi zikitumika maana kwenye madaladala watu wanajazana na masokoni au mikusanyiko yote iliendelea na inaendelea.

Tafadhali nijuze hizo taadhari zilizochukuliwa maana kila siku tunaambiwa tuchape kazi corona haipo ni changamoto ya upumuaji tu.
 
Kwani hao waliopewa chanjo corona unadhani haiwwpati.au unadhani ukipata hyo chanjo ndo umemaliza kila kitu?
Unaweza ukaipata corona lakini inakuwa very mild yaani inakua kama mafia ya kawaida tu,kuna jamaa yangu anaishi US na amechanjwa anasema hajaona side effects za aina yoyote kama kuchanyata anachanyata kama kawaida yake
 
hapa duniani tunatakiwa tubaki watu billion 1.
nyie wqafrica mnaonekana ni mzigo na mnakula tu rasilimali za dunia BURE.
Ili msizaane sana ni lazma mpunguzwe nguvu.
Hauwezi jua kwenye hizo chanjo zote wameweka nini NDANI?View attachment 1718325
Vipi kuhusu chanjo zingine kama homa ya ini,pepopunda na surua kama wakitaka kufanya hivyo si wangefanya tu hivyo.
 
Chanjo zote zina madhara..
Hauwezi jua wameweka nini ili kutuzuia TUSIZALIANE.
maana lengo lao ni kubaki na watu wachache duniani.
Tunaweza tukadhani wanatusaidia kumbe wanatumaliza na hizo chanjo zao.
Vipi kuhusu chanjo zingine kama homa ya ini,pepopunda na surua kama wakitaka kufanya hivyo si wangefanya tu hivyo.
 
Uko sahihi,
Hata baada ya kua Rais humsikii Mwinyi akiwaponda Wapinzani au kuwananga. Wana siasa za tofaut sana hawa wawili.
Mwinyi ni islamia na wapinzani zenji asilimia kubwa ni islamia dini moja wanaunganishwa na dini. Wenzetu wanajali sana misingi ya utu toka wakiwa wadogo......mnaona Mwinyi anang'ara kwa ustaarabu kutokana na kupewa makavu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…