Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

Tulia.
Umejiuliza kwanini vijana wengi wa sasa wana matatizo ya UZAZI?
acha uzwazwa yaani hebu Fikilia hadi sasa tunatumia chanjo ngapi kutoka kwa mabeberu? Hivi Kama lengo lingekua hilo Kwann wakutumie chanjo ambazo tayari tumezizoea hadi wasubili hii?
akili za kushikiwa hizo
 
Wengi wao walivaa barakoa tulifatilia na ambao hawakuvaa ni wale manyumbu ambao wao hadi wasikie mkuu amesema wavae ndo watavaa hata kama wanaona kabisa kuna vifo vingi.
Hao wengi unaosema walivaa barakoa ni akina nani?kama unazungumzia wananchi basi utakuwa hujui unachokiongea.
 
Aliyekuwa anasubiri hadi atangaziwe ndio aanze kuchukua tahadhari huyo nitaona ni mjinga kama wale wajinga waliyoachaga kuchukua tahadhari ile mwaka jana kisa serikali ilitangaza corona imeisha.
Tuna mijitu mijinga sana,jana namuona mtu kwenye daladala na mbarakoa wake kaishusha anapiga michafya tu bila kujifunika barakoa,hadi nikawa najiuliza huyu jamaa hii barakoa sijui kavaa ya nini na ndio wengi wako hivyo wanavaa barakoa kama fashion tu.
 
Reactions: bne
Ulishawahi kujiuliza kwanini VIJANA WENGI WANA wa miaka hii wana MATATIZO YA UZAZI?

Kenya imepiga marufuku biashara ya mahindi kutoka nje kwa madai kuwa mahindi ya TZ na Uganda si salama, na kwa miaka mingi yameathiri afya za Wakenya.

Ujinga yupo juu ya mimbari anahutubia ujinga wake. Amezungukwa na waandishi na vipaza sauti vyao, Polisi na maguruneti yao, na mbwa hii ni kwasababu

Hekima anakata tamaa, Ujinga anaendelea kutawala mimbari yake.

Sayansi ni sayansi tu hakuna sayansi ya mzungu wala mchina,waafrika etc

Wazungu wakitaka kutuuwa hata dakika hatufiki tusitake,hapo ulipo unatumia simu yenye ubunifu wao, Technology unayotumia kutoa hela kwenye mabenki ni ya kwao! etc

Haya mawazo unayotoa sasa walitolewa miaka ya nyuma wakiwa mababu zetu, cha msingi kila kitu kipo waambie wafanya sayansi walete chanjo yao narudi sayansi ni sayansi tu.
 
Sisi tunaishi lakini KUNA WATU WANATUPANGIA TUISHI VIPI.ili la corona ni dogo yatakuja mengine mazito mazito.
Mpaka wabaki WATU BILLION 1.
Itafika kipindi watu watapigwa chapa.yaani microchip.
Hauwezi kuishi duniani bila wao kujua.
Na watakuwa na taarifa zako zote.
Kila mtoto atakayezaliwa Basi taarifa zake zinakuwa tayari wanazijua.
Kaa na dhana yako [emoji107][emoji120]
 
Unaijua NEW WORLD ORDER. NA MALENGO YAKE?.
Moja ya lengo lao ni kuwa watu billion 1 hapa duniani.
Unadhani huo mpango utakamilika vipi bila kuleta magonjwa na chanjo zao kuzuia watu wasizaliane?.
Vijana wengi sana wa siku hizi wana matatizo ya UZAZI.hizo chanjo,mbolea za viwandani,vyakula vya kisasa kama kuku wa broiler n.k hivi vitu ndo chanzo.
Na huu ni mpango wanajua wanachokifanya.
Kama MTU haumwi unampa chanjo ya nini?
Ile sawa uliyompa inaenda kufanya kazi gani?
 
Point ni kupunguza watu kama ingekuwa issue ni kuuwa tu basi wangeshapiga mabomu kitambo tu,kwenye kupunguza watu ndio kuna kupunguza kuzaliana na kufa kwa maradhi n.k
 
Nataka kurudia tena!! Sayansi ni sayansi hakuna sayansi ya mzungu wala waafrika etc kama vyote hivo tunavipokea wazungu wakulazimishi, hapa kuwa mwasayansi wafanye utafiti walete kuku wasio na shida katika mwili wa mwanadamu!!

Chanjo zote zinazotoka kwao kwa miaka mingi hivi sasa wangezito tulete za kwetu. Neno NEW WORLD ORDER sio la leo wala jana kama kutuuwa wangefanye muda tu.

Kauli hizi uwezi kuzikuta ujerumani, china etc kwasababu wana wanasayansi kwao pia tuache maneno maabara ya taifa inafanya kazi gani?

Maana kila siku ni wazungu tu,
 
Tulia.
Umejiuliza kwanini vijana wengi wa sasa wana matatizo ya UZAZI?
mzee hiyo ni sababu ya life style tuliyonayo Sasa. kwa taarifa yako hata ktk nchi ya italy kuna eneo ambalo serikali ilianza kutoa zawadi kwa wazazi ili kuongeza uwezo wa kuzaliana
 
Point ni kupunguza watu kama ingekuwa issue ni kuuwa tu basi wangeshapiga mabomu kitambo tu,kwenye kupunguza watu ndio kuna kupunguza kuzaliana na kufa kwa maradhi n.k

Hekima anakata tamaa, Ujinga anaendelea kutawala mimbari yake.

Hizi ni point ambazo tumezisoma kwenye historia ya nchi za wenzetu, wenzetu wanetoka huko muda mrefu sana wapo kwenye Technology .

Sayansi ni sayansi tu hakuna sayansi ya mzungu wala waafrika maabara zipo tunashindwa kufanya kama wanavyofanya wao? Kama hoja ni hiyo!!
 
Dr Mwinyi ni msomi wa Afya ya Binadamu toka Chuo Kikuu cha Afya tofauti na waganga wa kienyeji wa Bara wenye PhD za kuokoteza mradi wajiite Dr wanapotembeza tunguli ambazo sasa zimefika mpaka Mahospitalini. Awamu hii Bara tutapuliziwa mengi!
 
Acha uwongo Kwanini mnakua na akili duni kiasi hicho? Chanjo zimeanza hata kabla ya uhuru.
we unajua ugonjwa wa unyafunzi? Unajua ugonjwa wa polio? Influenza?? Kama hujui kitu kaa kimya
 
chanjo zimeanza hata kabla ya UHURU?.
Acha uwongo Kwanini mnakua na akili duni kiasi hicho? Chanjo zimeanza hata kabla ya uhuru.
we unajua ugonjwa wa unyafunzi? Unajua ugonjwa wa polio? Influenza?? Kama hujui kitu kaa kimya
 
Hyo LIFE STYLEunayosema wewe nani kaanzisha?.
ndo maana nimesema sisi tunaishi lakini KUNA WATU WANATUPANGIA JINSI YA KUISHI.
tunarudi pale pale kwenye point yangu YA NEW WORLD ORDER.
mpango mpya wa kuitawala dunia.
Yaani tuishi wanavyotaka wao.na si tunavyotaka SISI.
mzee hiyo ni sababu ya life style tuliyonayo Sasa. kwa taarifa yako hata ktk nchi ya italy kuna eneo ambalo serikali ilianza kutoa zawadi kwa wazazi ili kuongeza uwezo wa kuzaliana
 
Leo mtu mweusi huku afrika akitilia mashaka hizo chanjo akitaka ufafanuzi wa kisayansi ataonekana analeta fujo kisa wenyewe wazungu huko wamepitisha kwamba ni salama.
 
Dr Mwinyi ni msomi wa Afya ya Binadamu toka Chuo Kikuu cha Afya tofauti na waganga wa kienyeji wa Bara wenye PhD za kuokoteza mradi wajiite Dr wanapotembeza tunguli ambazo sasa zimefika mpaka Mahospitalini. Awamu hii Bara tutapuliziwa mengi!
Kwahiyo usomi wake wa afya ndio unamwambia kuwa sasa ndio kuna corona ila huko nyuma corona haikuwepo? Hivi tokea yeye anaingia madarakani kulikuwa hakuna corona?
 
Leo mtu mweusi huku afrika akitilia mashaka hizo chanjo akitaka ufafanuzi wa kisayansi ataonekana analeta fujo kisa wenyewe wazungu huko wamepitisha kwamba ni salama.

Hizo Chanjo zingine hilizokuwepo zilipitaje?
 
Hizo Chanjo zingine hilizokuwepo zilipitaje?
Kutokuhoji kwa hizo zengine si sababu ya kufanya tusihoji na hizi,hili ni suala la kisayansi si imani hivyo usitake kusema kwamba tusihoji hizi chanjo za haraka haraka zisizo na majaribio ya kutosha kisa tu kuna chanjo zengine tumezikubali.
 
Sasa mnataka MUULIWE MARA NGAPI?
Mna presha,MNA kisukari,MNA malaria,MNA ngoma n.k
wazee wenye miaka 100 africa wanahesabika
Ndio NEW WORLD ORDER HYO.
Ili mpungue watu waweze kuitawala dunia vizuri.
Itafika hatua HAUZAI MPAKA wakubwa wa dunia wakuruhusu.ulishawahi kujiuliza UZAZI WA MPANGO WA NINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…