Rais huwa hatangazi Utalii



Kwahiyo ulitaka afanye kama alivyofanya Kagame? Acheni ujinga alichofanya Mama kina impact sana
 
We badala ya kumponheza rais unamshushua. Rais anafufua taifa ambalo jpm aliliua ndani ya miaka mitano. Ndani ya miaka mitano mzunguko wa pesa ulikata kwa sababu uwekezaji ulikata pia na mishara ya wafanyakazi kutoongezwa. Ndani ya miaka mitano alizima kabisa ajira kwa vijana kiasi ambacho walikuwa wanalandalanda mtaani bila kujua wafanye nini mana hata private sector ilikufa ambayo ilikuwa inaajiri pale ambapo serikali imeahindwa kuwaajiri. Ndani ya miaka mitano wakulima wa mbaazi, korosho nk walilia na kusaga meno kwa sababu ya udictor wake. Sasa samia anapambana kuleta ahueni na sasa wakulima wanachekelea. Sasa hivi kuna freedom of speech kiasi ambacho mpaka tbc sasa hivi wanatangaza habari za upinzani japo bado kwa kuibia ibia lakini mwelekeo ni mzuri.

Mama is doing better na sasa hivi kila mwenye uwezo wa kufanya kazi yupo kazini mpaka wale walioonewa eti vyeti feki wamerudishwa japo wengi walikuwa kwa stress. Ndani ya miaka mitano ya jpm aliua na kupoga risasi watu kama lisu.

Jpm hakuwa mru bali sheitwani
 
Mkuu hata mimi nimejiuliza sana hili suala!!!! Hivi ni kazi ya raisi kutangaza utalii? Mbona ana vitu vikubwa vingi vya kufanya? Au haoni kama anatakiwa alipeleke taifa mbele kwa kuwa na mikakati mizuri? Bodi ya utalii imelala? Yaani raisi wetu hana kazi mpaka atangaze utalii wakati wapo wenye hiyo kazi? Sipati jibu!!!!
 
Mpelekeni na Mbudya akaitangaze pia tunaweza kupata Boti nzuri za kuwa zinatupeleka huko
 
Hii vita tutaishinda tu sisi ni Taifa huru hivyo ushindi ni lazima. Labda wewe mwenzetu umeamua kukaa pamoja na upande wa hawa wapigaji wakubwa.
 
Wewe utapiga kelele hapo kwa maandishi lakini matokeo yakijidhihiri utatokomea kusikojulikana........akukosooaye ndiye anayekutakiwa mema sio anayekusifia bila kukoonesha upande wa pili wa shilingi athari zikoje
Angalau Mama kaonyesha ushujaa wa kuikubali dunia na kwenda kadri ya matakwa ya ushindani wa kimataifa. Wapo wengine walijawa na ujasiri wa ndani hawakuwa na utayari wa kupambania nafasi yao kimataifa.
 
Hahahah.acha uoga wew..ukitoa povu unapigilia msumari kabisa.hahahaha
 
Ni vizuri amefanya hiyo Royal Tour ili huko nje wajue kuwa ndiye anayechukia democrasia!!!
 
Nashauri acha kukariri Bandugu. Marais wengine tayari wameshafanya. Na pia sio mbaya hata kama angekuwa wa kwanza kama kuna tija. Naelewa tatizo baadhi yetu Watanzania, ujuaji uliopitiliza kwenye kila kitu.
 
Hili atajilaumu sana baadae maana waliomshaur wamempoteza.ila kwa vile ye mwenyewe hana vision wala mission twendeni tutakapoporomokea hukohuko
 
Uongo mtupu! Kama hujui mambo si vizuri kuja na uongo humu JF. Marais wengi wametangaza sana vivutio vya nchi zao nchi za nje kwa nia na lengo la kuvutia watalii. Kila mmoja na njia na mbinu zake za kulifanya hili. Muulize Rais Kagame na ile timu ya EPL. Huko siyo kutangaza utalii!? Muulize Rais Narendra wa India, alipokuwa Bollyhood mwaka juzi, alikuwa anafanya nini, kama siyo kutangaza vivutio vya utalii walivyo navyo India!? Kama hujui mambo ya kileo duniani NYAMAZA sisi na SSH wetu tujenge nchi yetu!
 

Hana hoja huyu mpuuzi ni wivu tu umemjaa na kukosa patriotism.
Yani President ana promote sector inayochangia gdp kwa 16% ili iwe na tija zaidi yeye anaona haina maana. Jitu hovyo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…