Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ulivyo kilaza unaongea kwa nguvu kabisa eti Kagame hajawai fanya! Alafu mbaya zaidi unajiita Intelligence Justice kumbe kilaza wa mwisho kabisaaa 😂😂😂Kagame hajawahi kuingia field na kuanza kutangaza utalii kwa mtindo huu.
Hakuna mtalii atakayekuja kutalii bila kumwona yule aliyetangaza kwa mantiki hiyo mheshimiwa rais yuko tayari kuacha majukumu yake awe anaambatana na watalii kuthibitisha kilichomo kwenye fkamu badala ya wasaidizi wake walioteuliwa na kulipwa kwa kazi hiyo?
*Msiwe mnapuuza maoni ya wananchi wanapowapa changamoto kutokana na uamuzi mnaofanya bila taathimini ya uhalisia kwa kupima matokeo CHANYA dhidi matokeo HASI.
Huyu anayefanya Royal Tour hapa ni wewe??? Jinga kabisa