Rais huwa hatangazi Utalii

Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?

Tatizo mmejaa ushamba na mnaonesha wazi wazi mlivyo washamba
Upo sahihi.Na kiukweli sielewi kwanini watanzania wengi sehemu pekee tunayoweza kusimama kwa nguvu na kwa sauti ni kwenye kukosoa.Sawa kukosoa sio mbaya basi kosoeni kisha toeni maoni ya thamani zaidi.Nafikiri anayejaribu jambo la kutaka mafanikio ni bora kuliko ambaye hathubutu kabisa.
 
Wewe unayejua maana ya Royal Kwa nini umeshindwa kujua kuwa Rais Samia sio Rais wa kwanza kufanya hii programu??

Punguza ushamba mwana chato! Unajidhalilisha!
Dogo tuliza matako utusikilize sisi wakubwa zako, makosa yaliyofanyika wakati wa mwendazake yanaendelea,
Kuu sideline private sector ni grave mistake,

Kwa nini isingetangazwa tender ya hiyo royola" alafu zikashindana kampuni za ndani na za nje ikapatika a kampuni ikapewa kaxi?

Ni mkakosa makubwa selikali kutokuipa kaxi private sector

sijui kama umenielewa
 
Hutakiwi kuwa na mashaka na Mimi Mkuu!

Royal Tour ni jambo kubwa kinalofanywa kwa maslahi mapana ya Taifa lazima tuliunge mkono na tutoe mawazo mazuri zaidi kuliboresha!

Kuhusu ubadhirifu sijakuelewa. Kwa nijuavyo Mimi Royal Tour kwa hapa nchini inagharamiwa na michango ya watu mbalimbali ikiwemo wawekezaji na sio kodi za wananchi.
Hata ivyo sioni namna kunaweza kuwa na ubadhirifu
 
Kwanza Unajua hata Royal Tour ni nini??

Mbona unaniaibisha Mkuu?
 
Well said mkuu.... Mtalii haji kwa sababu rais kahamasisha bali anakuja kutokana na non stop promotion ya vivutio vya utalii, affordable entry fees, affordable accommodation, good and affordable means of transportation, a combination of high quality and well preserved sites, hospitality etc etc... So far Morocco, Egypt and South Africa ndiyo wanaoongoza kwa watalii wengi kuja kwao. Have we checked with them to know what they have done so far??
 
Kwaiyo kama haijawahi kufanyika basi isifanyike si ndio? Hapa naona tu umetuelezea wewe ulivyokalili
 
Kwanza Unajua hata Royal Tour ni nini??

Mbona unaniaibisha Mkuu?
Hata nikiijua kama haina impact kutangaza utalii ni waste of time

njia za kutangaza kutalii ziko nyingi siyo lazima usikariri dogo
 
Acheni utumwa wa fikra, nasi tumepewa vichwa vya kutafakari na kufanya maamuzi sio kila kitu kuiga

Inawezekana hiyo approach ikaleta manufaa na wengine wakaiga
Nchi hii ni balaa!! Watu wanajisifu wana akili na kutukana wenzao cha ajabu kwa akili zao hizo hizo nyingi hawana njia mbadala zaidi ya kusisitiza watu wacopy namna za wengine.Ni muhimu sana ifike kipindi bongo zetu wenyew ziweze kufanya kazi na kukosea ndio kujifunza
 
Mazingira tuliyo nayo sidhani kama tutatoboa tumejipakazia ugaidi, bado tunafanya Usanii na na janga la corona,

zile nchi zinazoleta watalii wengi wameanza kufunga balozi kwa sababu za kiusalama na ukosefu wa utawala bora

hiyo royola itafanikiwa vipi?
 

Kwanza elewa kitu kimoja Raisi aliambatana na Mawazir katika ziara yake ya leo na kwenye gharama kama unakumbuka alifanya kikao na wafanya biashara wa Tanzania nzima Ikulu na akawaomba wamsapoti, Tujaribu kufatilia mambo zen ndo tukosoe.
 
Hahahha.. Huyu jamaa kumbe alikuwa anaushabikia upinzani kwa hasira tu za kubanwa mbavu
 
Watanzania ujuaji mwingi.... tukiwa nje kila mpira tunajua upigwe vipi, tukiingia ndani tunachemka.

Mama Samwel Sitta alikuwa kiongozi chama cha walimu na maneno mengi, siku amekuja kupewa uwaziri wa elimu hakuna kitu alichofanya.
 
Watanzania ujuaji mwingi.... tukiwa nje kila mpira tunajua upigwe vipi, tukiingia ndani tunachemka.

Mama Samwel Sitta alikuwa kiongozi chama cha walimu na maneno mengi, siku amekuja kupewa uwaziri wa elimu hakuna kitu alichofanya.
Unachanganya uwezo wa mtu binafsi na pale mtu huyo huyo anapokuwa amezungukwa na misukule... Unamkumbuka Prof muhongo???
 
Hahahha.. Huyu jamaa kumbe alikuwa anaushabikia upinzani kwa hasira tu za kubanwa mbavu
Nilibanwa mbavu na Nani?? Kwa Taarifa yako Mimi ni Mwanachama wa CCM tangu mwaka 1995. Wewe ulikuwa wapi enzi izo?
 
Hizo taarifa kuwa wamefunga balozi Kwa sababu za kiusalama umezitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…