Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

But, he has, at least done, something kama mkuu wa familia.
Hiyo sio njia bora, huwezi kupita njia unayojua fika haikufikishi ilimradi uonekane nawe unatembea.
Huu ni ulimwengu wa kucheza very smart na sio huo upumbavu kama wa huyo Mjinga na Putin.

Zaidi anajiandaa kuwatesa raia kwa kiwango cha juu.

Waafrika huwa hatufikiri sawasawa
 
Huyu atakipata anachokitafuta
hizi akili zenu za kipuuzi kila siku ..atakipata kitu gani!???...mmeiba vya kutosha huko West Africa vijana wameamka kutoka usingizi wa pono mmebakia 'atakiona cha mtema kuni mara atakipata anachokitafuta' ndio hvyo sasa ndge ndo ipo mikononi mwa waburkinabe jinyongeni au kama mmekasirika ....shwaini nyie
 
Kaskazini bana

Loh
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa

View attachment 2719864
 
Ujasiri na uthubutu wa aina hii, unahitajika kwa maraisi wote wa Africa
Afrika tatizo ni elimu tu, mbona canada, USA, India, Brazil, etc zilitaliwa na leo the leading in economic in the world.

Asian countries zilikuwa makoloni but leo wamepiga hatua kuliko Afrika, nchi za weusi ni ujinga tu ukosefu wa elimu.

Kama ni kweli, anajisumbua bure labda anajiandaa kuwa rais wa maisha, hawezi chochote kama Gaddafi alishindwa sembuse huyu ambaye hata elimu hana.
 
India sawa. Lakini kwa Marekani na Canada unakosea men. Anayeishi Canada na USA ndo huyo huyo unayesema katawala. Watu wa asili ya Canada na Marekani hawapi tena duniani baada ya kuchinjwa na hao wazungu unaowaona Canada na USA.
 
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa

View attachment 2719864
Ohooo! Man down! Mapeeeema
 
Huyu kijana angekuwa na akili asingefanya huu ujinga wa vindege. Acha ndege fungua kesi za maana mahakama za kudai mali walizoiba kihalali utashinda Ila uwe makini usije ukawa kama Sankara waliokuzunguka wengi watakuwa raisi kununuliwa wakuue
 
Waoga na wasiokuwa na umoja na wala rushwa ndiyo hunyanyasika. Je unafahamu kuwa Ethiopia haijawahi kutawaliwa? Tatizo la waafrica wengi huwa ni wanafiki utashangaa happ wanatokea wanalipwa kama akina Lisu na kuaza kusema ni makosa ila rasilimali zikiibwa siyo makosa.
Lissu anasingiziwa Kwa makosa ya serekali za CCM
 
exactly, atatandikwa aondke kwenye madaraka. Mpuuzi huwezi kupambana na ufaransa, atakunyonyoa
Bora atandikwe ila he had balls. Wewe ni shoga kukubali kushindwa kabla hujapambana. Watanzania wengi ni wanafiki sana na hii ni matokeo ya uoga uoga wa kishamba. Unashindwa kusimamia kichwa chako matokeo yake unapelekwa pelekwa kama gari bovu.
 
Back
Top Bottom