Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mkuu,Afrika tatizo ni elimu tu, mbona canada, USA, India, Brazil, etc zilitaliwa na leo the leading in economic in the world.
Asian countries zilikuwa makoloni but leo wamepiga hatua kuliko Afrika, nchi za weusi ni ujinga tu ukosefu wa elimu.
Kama ni kweli, anajisumbua bure labda anajiandaa kuwa rais wa maisha, hawezi chochote kama Gaddafi alishindwa sembuse huyu ambaye hata elimu hana.
Uafrika hasa utanzania ni laana.