Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Kama hawaja-exploit Africa they exploited other parts of the World binti,usipotoshe.Anyway kama unayosema ni kweli kwa nini Wabunge wa Bunge la Ufaransa wanamtaka afanye lolote linalowezekana kwa sababu France can't survive without Africa?Watch this👇

View: https://youtu.be/CBO4Ec32a1M

Hizo ni siasa tu.Ni vile wanaumia kumuona mchina,mrusi afaidike Africa peke yake.
 
Hizo ni siasa tu.Ni vile wanaumia kumuona mchina,mrusi afaidike Africa peke yake.
Sio rahisi nchi kujiabisha kiasi hicho Victorie.Unajua, wabunge kusema kwamba wata-starve because they have been denied African resources is a shame.
 
Huyu mwanajeshi naye ni kichwa maji.Kuzuia ndege,kwani Niger ina rasilimali ngapi nje ya nchi?Si zitataifishwa kufidia hizo ndege tena na faini juu.Wajifunze kwa ubabe wa Jiwe kudhulumu,matokeo yake Tanzania kila siku ina haha kulipa madeni!
 
Hizo ni siasa tu.Ni vile wanaumia kumuona mchina,mrusi afaidike Africa peke yake.
If it’s true then France has a symbiotic relationship with those countries and they should talk to them and see how France and the Francophone can coexist without robbing each other
 
Hawa ndio viongozi Sasa wakusimama nao.

URUSI TAYARI SASA ,KAPELEKA VIKOSI MAALUMU KULINDA MARAIS WA NCHI ZA KIAFRIKA WENYE UHUSIANO NA URUSI.
 
Atapigwa Fitna Na Mabeberu Ya Magharibu Mpaka Iwe Kama Gaddafi
Hamna.
Kwa Sasa Urusi na Uchina, wameamua Mbwai iwe Mbwai.

Janja wanavyotaka kutumia Wamagharibi, ni vita ya Niger, wanayotaka iwaingize Akina Burkina be, Mali, Guinea, ili wapige Kwa pamoja.
 
Sasa wewe unaona bora achukue hizo au aziachie?? Wewe una akili za kutawaliwa
Aziachie kwani in the art of War you don’t act hastily study your enemies and figure out how they will react in every scenario and if you decide to fight you move like fire. If he really had guts he should stop everything and tell all French citizens to leave the country
 
Ni suala la muda tu.
Alijaribu Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Jiwe hakuna FITINA zilizomshinda toka kwa mabeberu 7bu na hakuwai kuteteleka n kelele za mazeruzeru ya WEST hazikumzuia kufanya yake na akayatekeleza bila shida
Jiwe watu kama nyinyi ndo mlomfanya fitina
Yaan watanzania dizaini yako ndo wazandiki wazandikina
 
Hawa ndio viongozi Sasa wakusimama nao.

URUSI TAYARI SASA ,KAPELEKA VIKOSI MAALUMU KULINDA MARAIS WA NCHI ZA KIAFRIKA WENYE UHUSIANO NA URUSI.
Hao hawafanyi bure and it’s a really great mistake to have mercenaries guarding a president or country if the citizen can not do it then there’s a big problem
 
Jiwe hakuna FITINA zilizomshinda toka kwa mabeberu 7bu na hakuwai kuteteleka n kelele za mazeruzeru ya WEST hazikumxia kufanya yake na akayatekeleza bika
Jiwe watu kama nyinyi ndo mlomfanya fitina
Yaan watanzania dizaini yako ndo wazandiki wazandikina
Jiwe maadui zake walikuwa ni Watanzania wenzake waliouza hayo madini na kila raslimali zote.Tatizo la Jiwe alikuwa mjinga na haambiliki hakujua kikulacho kiko nguoni kwako. Hukuona yule beberu wa barick alivyokuwa anamwangalia na Barik alivyokata Acacia hivi unafikiri Acacia ilikuwa mali ya kina nani?? Msionee Wazungu kwani mnaleta ubaguzi wa kijinga
 
Africa kinachoweza kutupa nguvu ni vitu vitatu
1. Umoja wetu
2. Uchumi imara
3.Technology imara

Cha kuanza nacho ni umoja imara usio ili kuwa na sauti katika mambo ya uchumi na uchumi huleta technology.
Kuvimba kwa kanchi kama Niger au bukinafaso hakusaidia kitu Africa inatakiwa kuwa na sauti Moja kwa ajili ya waafrica
One voice for Africa by Africa for africans
Technolojia imara mtaitoa wapi ?
 
Huwezi kuwa na sauti katika uchumi wakati unategemea misaada hata kujenga matundu ya vyoo kwa shule zako.
 
Africa tunamatatizo yaakili tunajitoa kwenye ukoloni wa euro tunaingia kuwa koloni la Russ na Asia
 
Africa kinachoweza kutupa nguvu ni vitu vitatu
1. Umoja wetu
2. Uchumi imara
3.Technology imara

Cha kuanza nacho ni umoja imara usio ili kuwa na sauti katika mambo ya uchumi na uchumi huleta technology.
Kuvimba kwa kanchi kama Niger au bukinafaso hakusaidia kitu Africa inatakiwa kuwa na sauti Moja kwa ajili ya waafrica
One voice for Africa by Africa for africans
Africa inaathiliwa zaidi na uchawa pamoja na unafiki kwahiyo usitegee wanafiki wanaweza kua wamoja mfano kenya Boss ruto anapambania africa kwa nia yadhati kabisa huku Odinga najopo lake wapo upande wapilikuhalibu
 
Back
Top Bottom