Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Mnachosahau,Ufaransa ilishaendelea kitambo kabla hata ya kukolonise hizo nchi.Ni sema tu wanaendelea kutumia any chance available as wenzetu wanawaza vizazi na vizazi vijavyo.
25% ya URANIUM inayozalisha umeme wao inatoka NIGER ilo tayari ni pigo kubwa
 
Hadi leo asubuhi wanaohusika na Uwanja ni Marekani na Ufaransa na wao wanasema walipewa haki na Serikali halali ya nchi hiyo.
 
Ufaransa bila izo nchi uchumi wake una collapse faster ndio mahana hana pa kushika zaidi ya kukomaa kwenye izo nchi
Ufaransa wameshapoteza trust ya Francophone countries,kwa hiyo nothing can be done,wasambaratike tu.Mbona wao wamesambaratisha uchumi wa nchi hizo for sixty years?Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu si ndiyo,Niger and any Francophone country watakuwa wajinga sana kuendeleza ushirikiano wowote na France frankly.
 
Mnachosahau,Ufaransa ilishaendelea kitambo kabla hata ya kukolonise hizo nchi.Ni sema tu wanaendelea kutumia any chance available as wenzetu wanawaza vizazi na vizazi vijavyo.
Kama hawaja-exploit Africa they exploited other parts of the World binti,usipotoshe.Anyway kama unayosema ni kweli kwa nini Wabunge wa Bunge la Ufaransa wanamtaka afanye lolote linalowezekana kwa sababu France can't survive without Africa?Watch this👇


View: https://youtu.be/CBO4Ec32a1M
 
Huyu atakipata anachokitafuta
Acha ushoga ,yani watu aina kama ndio viongozi enzi hizo waliowauza wananchi wao kwa shanga tu .mpaka sasa mataifa ya Afrika hayapo uhuru yanapambana kupata uhuru na mapambano yanaanzia kwa kiongozi halafu raia wanaunga kwahiyo wewe unataka awe upande wa mkoroni halafu kiongozi akiwa upande wa mkoroni munakuja kusema viongozi hawatutetei
 
Waoga na wasiokuwa na umoja na wala rushwa ndiyo hunyanyasika. Je unafahamu kuwa Ethiopia haijawahi kutawaliwa? Tatizo la waafrica wengi huwa ni wanafiki utashangaa happ wanatokea wanalipwa kama akina Lisu na kuaza kusema ni makosa ila rasilimali zikiibwa siyo makosa.
Adui wa Afrika ni mwafrika mwenzake , huu upuuzi wa Ecowas huwez kuta ulaya wala Amerika yote .
 
Huyu kijana angekuwa na akili asingefanya huu ujinga wa vindege. Acha ndege fungua kesi za maana mahakama za kudai mali walizoiba kihalali utashinda Ila uwe makini usije ukawa kama Sankara waliokuzunguka wengi watakuwa raisi kununuliwa wakuue

Wazo la kichoko yaani aliyekuambia hizo mahakama za dunia ni kwa ajili yetu nani?
Angeshika ndege zote izo mbili chache xnaa
 
Ndege ya URUSI imetua kwenye uwanja uwo uwo unaosema umeshikiliwa na France na kingine wamepewa deadline zimebaki siku 5 wawe wameshaondoka
Wawe wamaondoka wakina nani?
Unamaanisha wafaransa wote?
Unataa kunambia amewafukuza wafaransa kama waindi walivyofukuzwa Uganda?
 
Ni suala la muda tu.
Alijaribu Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Jiwe alipaswa kufyeka mbali masalia ya jk yote..huyu mwamba kasawazisha vibaraka wote kwanza
 
Wazo la kichoko yaani aliyekuambia hizo mahakama za dunia ni kwa ajili yetu nani?
Angeshika ndege zote izo mbili chache xnaa
Sio mbili ndege 4 zimeshikwa na walioshika walikuwa na haki kabisa kufanya hivyo kama hao wa IPTL watakavyokamata chochote watakacho kuona nao kuna tatizo la elimu Tanzania kuhusu hizo kesi za kimataifa kila mtu ana haki hata akiwa beberu au Bepari ni pale wa African wanapofanya vitu bila kutumia akili ndio mambo yanakuwa mabaya alafu wanalaumu mabeberu
 
Back
Top Bottom