1. Sijapenda neno shoga, next time use gentleman's language. You are among the people I respect most on JF!Bora atandikwe ila he had balls. Wewe ni shoga kukubali kushindwa kabla hujapambana. Watanzania wengi ni wanafiki sana na hii ni matokeo ya uoga uoga wa kishamba. Unashindwa kusimamia kichwa chako matokeo yake unapelekwa pelekwa kama gari bovu.
2. Well and fine, onja sumu ya cyanide kwa vile huwezi kutishiwa kabla ya kupambana! Taleban walionja sumu ujue na matokeo yake unayajua
3. Why not use diplomacy to resolve issues