kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Daaah hio video aisee, ufaransa wanyama sana hawaComment yako ni kama ni Mfaransa hivii.I believe you are in the payrol of the NWO psycopaths and maniacs.Ni ajabu kwamba hata huyu👇 Mzungu anaionea huruma Africa kwa jinsi ambavyo Wazungu wanatufanyia. .Have a listen.Shame on you.
Ujasiri kama huo alikuwa nao JPM pekee.Ujasiri na uthubutu wa aina hii, unahitajika kwa maraisi wote wa Africa
Kila siku vita tu.Lazima utashtukaNilisoma kwamba hali ya usalama kuzorota ndiyo chachu ya haya mapinduzi.
Apparently si hivyo tu
Wala sio wanyama tu,they are less than animals.Daaah hio video aisee, ufaransa wanyama sana hawa
Hiyo sio njia bora, huwezi kupita njia unayojua fika haikufikishi ilimradi uonekane nawe unatembea.But, he has, at least done, something kama mkuu wa familia.
exactly, atatandikwa aondke kwenye madaraka. Mpuuzi huwezi kupambana na ufaransa, atakunyonyoaHuyu atakipata anachokitafuta
hizi akili zenu za kipuuzi kila siku ..atakipata kitu gani!???...mmeiba vya kutosha huko West Africa vijana wameamka kutoka usingizi wa pono mmebakia 'atakiona cha mtema kuni mara atakipata anachokitafuta' ndio hvyo sasa ndge ndo ipo mikononi mwa waburkinabe jinyongeni au kama mmekasirika ....shwaini nyieHuyu atakipata anachokitafuta
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa
View attachment 2719864
Was*nge kama nyie muhame AfrikaNg'ombe wa kafara.
Wanajazwa hewa na mjinga mmoja
Afrika tatizo ni elimu tu, mbona canada, USA, India, Brazil, etc zilitaliwa na leo the leading in economic in the world.Ujasiri na uthubutu wa aina hii, unahitajika kwa maraisi wote wa Africa
Wao walijua atakuwa anavurumisha misile kwenda kwao wakajiandaa na mifumo ya ukinzi kila kona kumbe kawatangulia mbele zaidiPutin aliwaeleza, yoyote atakayeingilia SMO yake na Ukraine atashika adabu hawakumwelewa.
India sawa. Lakini kwa Marekani na Canada unakosea men. Anayeishi Canada na USA ndo huyo huyo unayesema katawala. Watu wa asili ya Canada na Marekani hawapi tena duniani baada ya kuchinjwa na hao wazungu unaowaona Canada na USA.Afrika tatizo ni elimu tu, mbona canada, USA, India, Brazil, etc zilitaliwa na leo the leading in economic in the world.
Asian countries zilikuwa makoloni but leo wamepiga hatua kuliko Afrika, nchi za weusi ni ujinga tu ukosefu wa elimu.
Kama ni kweli, anajisumbua bure labda anajiandaa kuwa rais wa maisha, hawezi chochote kama Gaddafi alishindwa sembuse huyu ambaye hata elimu hana.
Ohooo! Man down! MapeeeemaBaada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa
View attachment 2719864
Haya mambo ya kuogopa kuogopa ndio yameifikisha Africa hapa tulipo.Atapigwa Fitna Na Mabeberu Ya Magharibu Mpaka Iwe Kama Gaddafi
Wazichukue sasaAnazuiaje wakati Ufaransa ndo wanashikilia huo uwanja?
Wafaransa na watu wa ukata wachumba tu,ngao yao ni mnaa Marekani😂Huyu atakipata anachokitafuta
Huyu kijana angekuwa na akili asingefanya huu ujinga wa vindege. Acha ndege fungua kesi za maana mahakama za kudai mali walizoiba kihalali utashinda Ila uwe makini usije ukawa kama Sankara waliokuzunguka wengi watakuwa raisi kununuliwa wakuueBaada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa
View attachment 2719864
Lissu anasingiziwa Kwa makosa ya serekali za CCMWaoga na wasiokuwa na umoja na wala rushwa ndiyo hunyanyasika. Je unafahamu kuwa Ethiopia haijawahi kutawaliwa? Tatizo la waafrica wengi huwa ni wanafiki utashangaa happ wanatokea wanalipwa kama akina Lisu na kuaza kusema ni makosa ila rasilimali zikiibwa siyo makosa.
Bora atandikwe ila he had balls. Wewe ni shoga kukubali kushindwa kabla hujapambana. Watanzania wengi ni wanafiki sana na hii ni matokeo ya uoga uoga wa kishamba. Unashindwa kusimamia kichwa chako matokeo yake unapelekwa pelekwa kama gari bovu.exactly, atatandikwa aondke kwenye madaraka. Mpuuzi huwezi kupambana na ufaransa, atakunyonyoa