Hizo ni siasa tu.Ni vile wanaumia kumuona mchina,mrusi afaidike Africa peke yake.Kama hawaja-exploit Africa they exploited other parts of the World binti,usipotoshe.Anyway kama unayosema ni kweli kwa nini Wabunge wa Bunge la Ufaransa wanamtaka afanye lolote linalowezekana kwa sababu France can't survive without Africa?Watch this👇
View: https://youtu.be/CBO4Ec32a1M
muda si mrefu huyu dogo wataenda kuzika, angefanya hivyo kama angekuwa na uhakika kama urusi atamsaidia 100% bila hivyo, soon atasahaulika.Huyu atakipata anachokitafuta
Sio rahisi nchi kujiabisha kiasi hicho Victorie.Unajua, wabunge kusema kwamba wata-starve because they have been denied African resources is a shame.Hizo ni siasa tu.Ni vile wanaumia kumuona mchina,mrusi afaidike Africa peke yake.
If it’s true then France has a symbiotic relationship with those countries and they should talk to them and see how France and the Francophone can coexist without robbing each otherHizo ni siasa tu.Ni vile wanaumia kumuona mchina,mrusi afaidike Africa peke yake.
Hamna.Atapigwa Fitna Na Mabeberu Ya Magharibu Mpaka Iwe Kama Gaddafi
Aziachie kwani in the art of War you don’t act hastily study your enemies and figure out how they will react in every scenario and if you decide to fight you move like fire. If he really had guts he should stop everything and tell all French citizens to leave the countrySasa wewe unaona bora achukue hizo au aziachie?? Wewe una akili za kutawaliwa
Jiwe hakuna FITINA zilizomshinda toka kwa mabeberu 7bu na hakuwai kuteteleka n kelele za mazeruzeru ya WEST hazikumzuia kufanya yake na akayatekeleza bila shidaNi suala la muda tu.
Alijaribu Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Hao hawafanyi bure and it’s a really great mistake to have mercenaries guarding a president or country if the citizen can not do it then there’s a big problemHawa ndio viongozi Sasa wakusimama nao.
URUSI TAYARI SASA ,KAPELEKA VIKOSI MAALUMU KULINDA MARAIS WA NCHI ZA KIAFRIKA WENYE UHUSIANO NA URUSI.
Jiwe maadui zake walikuwa ni Watanzania wenzake waliouza hayo madini na kila raslimali zote.Tatizo la Jiwe alikuwa mjinga na haambiliki hakujua kikulacho kiko nguoni kwako. Hukuona yule beberu wa barick alivyokuwa anamwangalia na Barik alivyokata Acacia hivi unafikiri Acacia ilikuwa mali ya kina nani?? Msionee Wazungu kwani mnaleta ubaguzi wa kijingaJiwe hakuna FITINA zilizomshinda toka kwa mabeberu 7bu na hakuwai kuteteleka n kelele za mazeruzeru ya WEST hazikumxia kufanya yake na akayatekeleza bika
Jiwe watu kama nyinyi ndo mlomfanya fitina
Yaan watanzania dizaini yako ndo wazandiki wazandikina
Mzilankede MuyangoMzilankende
Technolojia imara mtaitoa wapi ?Africa kinachoweza kutupa nguvu ni vitu vitatu
1. Umoja wetu
2. Uchumi imara
3.Technology imara
Cha kuanza nacho ni umoja imara usio ili kuwa na sauti katika mambo ya uchumi na uchumi huleta technology.
Kuvimba kwa kanchi kama Niger au bukinafaso hakusaidia kitu Africa inatakiwa kuwa na sauti Moja kwa ajili ya waafrica
One voice for Africa by Africa for africans
Huwezi kuwa na sauti katika uchumi wakati unategemea misaada hata kujenga matundu ya vyoo kwa shule zako.Africa kinachoweza kutupa nguvu ni vitu vitatu
1. Umoja wetu
2. Uchumi imara
3.Technology imara
Cha kuanza nacho ni umoja imara usio ili kuwa na sauti katika mambo ya uchumi na uchumi huleta technology.
Kuvimba kwa kanchi kama Niger au bukinafaso hakusaidia kitu Africa inatakiwa kuwa na sauti Moja kwa ajili ya waafrica
One voice for Africa by Africa for africans
Atleast wanatuma ujumbe kwamba wafaransa hawatakiwi nchini mwaoUfaransa wameibia sana Francophone Countries, kwa hiyo hizo ndege mbili is nothing compared to what they have looted.So ndege hizo ni mali ya Burkina Faso,it is as simple as that.
Africa inaathiliwa zaidi na uchawa pamoja na unafiki kwahiyo usitegee wanafiki wanaweza kua wamoja mfano kenya Boss ruto anapambania africa kwa nia yadhati kabisa huku Odinga najopo lake wapo upande wapilikuhalibuAfrica kinachoweza kutupa nguvu ni vitu vitatu
1. Umoja wetu
2. Uchumi imara
3.Technology imara
Cha kuanza nacho ni umoja imara usio ili kuwa na sauti katika mambo ya uchumi na uchumi huleta technology.
Kuvimba kwa kanchi kama Niger au bukinafaso hakusaidia kitu Africa inatakiwa kuwa na sauti Moja kwa ajili ya waafrica
One voice for Africa by Africa for africans
jina lako linapinga namaandishi yakoHata kama akifariki huyu kijana iwe kifo cha kawaida au la,km nitakuwa hai nita fanya utalii kaburini kwake.
Wachache hufa kwa ajilibya wengi..huwezi kuwa mmoja wapoUjasiri na uthubutu wa aina hii, unahitajika kwa maraisi wote wa Africa