Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Kuna watoa rushwa wazuri Duniani kama DP world? Usiniulize waliokula rushwa zao hapa nchini ni akina nani?
 
Ni suala la muda tu.
Alijaribu Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Hapa unadhihirisha ulivyo dhaifu kutetea uhuru wako. Hapo kuna uwezekano wa 90% mmarekani akikwambia inama nikukaze, utainama chapu chapu.

Hupaswi kuwa hivyo arifu, watu kama Ibrahim wanatakiwa kuungwa mkono, sio kuwatolea vikauli vya kichawi chawi.
 
Nyinyi mnaowaza kujikomba na umoja wa Ulaya ndio mnaofikiri sawasawa ?
 
kiukwel ni makosa hizo sio ndege za serikali ya ufaransa ila ndege za raia wa ufaransa , walioibia serikali za afrika walikuwa serikali ya ufaransa
 
Ulitaka niwe km wale wa kipindi cha CORONAVIRUS ambao asubuhi walituaminisha ya kwamba"hatuchanji" alafu jioni wakatuambia"tuchanje?".

Mimi najitegemea.
 
exactly, atatandikwa aondke kwenye madaraka. Mpuuzi huwezi kupambana na ufaransa, atakunyonyoa
Nyie ndio waafrika wa kuwatandika risasi hamuwezi kusaidia liberation of Afrika from neocolonialist.
 
Lissu akutie mimba utulie.
Hata mahali ahusiki lazima akutie kichefuchefu ?!
 
Huyo kijana anajifanya mtemi asubiri ataona kilicho mnyoa kanga manyoya, ngoja hao warusi wamdanganye tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…