Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Waoga na wasiokuwa na umoja na wala rushwa ndiyo hunyanyasika. Je unafahamu kuwa Ethiopia haijawahi kutawaliwa? Tatizo la waafrica wengi huwa ni wanafiki utashangaa happ wanatokea wanalipwa kama akina Lisu na kuaza kusema ni makosa ila rasilimali zikiibwa siyo makosa.
Kuna watoa rushwa wazuri Duniani kama DP world? Usiniulize waliokula rushwa zao hapa nchini ni akina nani?
 
Ni suala la muda tu.
Alijaribu Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Hapa unadhihirisha ulivyo dhaifu kutetea uhuru wako. Hapo kuna uwezekano wa 90% mmarekani akikwambia inama nikukaze, utainama chapu chapu.

Hupaswi kuwa hivyo arifu, watu kama Ibrahim wanatakiwa kuungwa mkono, sio kuwatolea vikauli vya kichawi chawi.
 
Hiyo sio njia bora, huwezi kupita njia unayojua fika haikufikishi ilimradi uonekane nawe unatembea.
Huu ni ulimwengu wa kucheza very smart na sio huo upumbavu kama wa huyo Mjinga na Putin.

Zaidi anajiandaa kuwatesa raia kwa kiwango cha juu.

Waafrika huwa hatufikiri sawasawa
Nyinyi mnaowaza kujikomba na umoja wa Ulaya ndio mnaofikiri sawasawa ?
 
Waoga na wasiokuwa na umoja na wala rushwa ndiyo hunyanyasika. Je unafahamu kuwa Ethiopia haijawahi kutawaliwa? Tatizo la waafrica wengi huwa ni wanafiki utashangaa happ wanatokea wanalipwa kama akina Lisu na kuaza kusema ni makosa ila rasilimali zikiibwa siyo makosa.
kiukwel ni makosa hizo sio ndege za serikali ya ufaransa ila ndege za raia wa ufaransa , walioibia serikali za afrika walikuwa serikali ya ufaransa
 
Ulitaka niwe km wale wa kipindi cha CORONAVIRUS ambao asubuhi walituaminisha ya kwamba"hatuchanji" alafu jioni wakatuambia"tuchanje?".

Mimi najitegemea.
 
exactly, atatandikwa aondke kwenye madaraka. Mpuuzi huwezi kupambana na ufaransa, atakunyonyoa
Nyie ndio waafrika wa kuwatandika risasi hamuwezi kusaidia liberation of Afrika from neocolonialist.
 
Waoga na wasiokuwa na umoja na wala rushwa ndiyo hunyanyasika. Je unafahamu kuwa Ethiopia haijawahi kutawaliwa? Tatizo la waafrica wengi huwa ni wanafiki utashangaa happ wanatokea wanalipwa kama akina Lisu na kuaza kusema ni makosa ila rasilimali zikiibwa siyo makosa.
Lissu akutie mimba utulie.
Hata mahali ahusiki lazima akutie kichefuchefu ?!
 
Huyo kijana anajifanya mtemi asubiri ataona kilicho mnyoa kanga manyoya, ngoja hao warusi wamdanganye tu.
 
Back
Top Bottom