Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa

View attachment 2719864
Ufaransa wameibia sana Francophone Countries, kwa hiyo hizo ndege mbili is nothing compared to what they have looted.So ndege hizo ni mali halali kabisa ya Burkina Faso,kwa hiyo wazi-retain.

Naomba nimalizie kwa kusema hivi,nilidhani in my lifetime nisingeshuhudia a courageous young leader like Ibrahim,a leader who will standup against the arrogance and bullying of the West.Ofcourse I know we have older sellouts like Tunubu of Nigeria,but they are the minority,by and large young folks are the majority.

Why am I saying this,I am saying this because most young man can be bought with money easily.I am glad to see that Ibrahim as a young man has stood up to the test and has said no to a US $200 million bribe sent to him by Victoria Nuland on behalf of the West.Which young man today can resist such a bribe.Infact most of them are in the payroll of the CIA as morons sabotaging their own countries! Bigup (👍) Ibrahim, you are an icon and a gleam of hope for Africa,you have shown the way .
I wish all young man would emulate Ibrahim.
 
Africa kinachoweza kutupa nguvu ni vitu vitatu
1. Umoja wetu
2. Uchumi imara
3.Technology imara

Cha kuanza nacho ni umoja imara usio ili kuwa na sauti katika mambo ya uchumi na uchumi huleta technology.
Kuvimba kwa kanchi kama Niger au bukinafaso hakusaidia kitu Africa inatakiwa kuwa na sauti Moja kwa ajili ya waafrica
One voice for Africa by Africa for africans
 
Na France wanakiona cha mtema kuni
Comment yako ni kama ni Mfaransa hivii.I believe you are in the payrol of the NWO psycopaths and maniacs.Ni ajabu kwamba hata huyu👇 Mzungu anaionea huruma Africa kwa jinsi ambavyo Wazungu wanatufanyia. .Have a listen.Shame on you.
 
Attachments

  • VID-20230808-WA0002.mp4
    42.1 MB
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa

View attachment 2719864
Hata kama akifariki huyu kijana iwe kifo cha kawaida au la,km nitakuwa hai nita fanya utalii kaburini kwake.
 
Ni suala la muda tu.
Alijaribi Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Huyu wa kwetu alikuwa mwizi km hao wa makinikia.
Unazikumbuka rambirambi za Mkoani Kagera?
Unakumbuka kuhusu kuzuia nyongeza za watumishi?
Unakumbuka mpaka leo haijulikani fedha za plea bargain zilikuwa zikiwekwa kwenye account ipi?
 
Ni suala la muda tu.
Alijaribi Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Na ndio maana wanaendelea sababu wanajua akiondoka mmoja kutokana uwepo wa wapuuzi wa kuweza kuwanunua mwingine atatokea baada ya miaka kadhaa...

Lakini wangekuwa wakimbana mmoja wanatokea wengine kumi wangeacha kutumia hii Modus Operandus.....

Like 2Pac Said...., You Say its the White Man I should Fear..., But its my own Kind doing all the Killing Here....
 
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa

View attachment 2719864
Uchokozi huu
 
Ujasiri na uthubutu wa aina hii, unahitajika kwa maraisi wote wa Africa

Kuna bibi mmoja kijijini kwetu ni radical kinyama sasa alitaka kukodisha baraza ya nyumba yake. Watoto walikataa kwakuwa tv inakaa barasani na wakaona mpangaji atakuwa anawakataza kuangalia tv barazani hvyo wakawa wanalakamika kwa baba yao. Bibi anajua ni sahihi watoto na wajukuu wake watakosa pa kucheza,shida ni tayari amekula hela kiasi na amemhaidi mpangaji anapata baraza. Watoto wengne amewakimbizia shambani na wengne amewatishia kuwafukuza ili tu asionekane mwongo kwa mpangaji wake. Viongozi wetu ni chawa wakiwa na wazungu ila kwetu ndo wanajifanya vijeba
 
Back
Top Bottom