Rais inawezekana vipi kujibizana na Josephat Gwajima? Mbona sielewi!

Rais inawezekana vipi kujibizana na Josephat Gwajima? Mbona sielewi!

nicholasmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
1,939
Reaction score
1,257
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
 
Gwajima sio sisimizi

Mbunge huitwa mheshimiwa mbunge sio sisimizi

Pili yeye ni mjumbe wa vikao vya juu kabisa vya CCM

Tatu yeye ni Askofu mkuu wa makanisa ya ufufuo na uzima kitaifa

Ana usisimizi gani?

Hajui uzito wa vyeo alivyo navyo?.kuwa na yeye ni kiongozi wa kitaifa kama Raisi Samia?
 
Aisee kauli yako imenikumbusha stori ya Yesu Kristo na Herode...

Ndugu Yesu Kristo amerudi, yumo ndani ya Mch Josephat Gwajima anatenda kazi...

Kama wanataka kuharakisha vifo vyao, wapambane na Mungu ktk Yesu Kristo waone vipigo watakavyopata...

Mungu Jehovah yuko kazini..
 
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli flani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini? Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli? Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu? Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Kiukweli ukiwahishwa hospitali na ukiwa unazingatia kunywa dawa zako kwa wakati, hakika una nafasi kubwa sana ya kupona shida ya afya ya akili inayokukabili.
 
Ukitaka kujua kuwa huyo uliyemuita sisimizi si sisimizi kuliko unayemuona ni tembo, wavue hivyo vyeo vya kurithi alafu pima aspect nyingine zote na status zote utagundua sisimizi uliyemuona wewe anawazifa mkubwa sana. Hivi vyeo vya kisiasa vinawafanya Wajinga wengi sana wenye madaraka waonekane wanautimamu kulingana na viti walivyokalia vinavyosababisha waongoze werevu wenye akili bendera na kupuuza wenye maono mapana. Siwezi kushangaa lakini kwakuwa Intelligence can't be measured by average mindset 🌚
 
Kwa macho ya kawaida ukiwa kwenye keyboard gwaji ni sisimizi lakini hata huyo mazaako halali usiku Kila akimkumbuka mtu anaitwa gwaji.
 
Kule kenge.Hapa magwajima.Mbele kidogo sisimizi.Mmatupoteza maboya.Tuitike jina gani sasa?
 
Ccm na wanachama milioni 13 ndio mnajua kua ni tapeli ...ila sio wananchi milioni 55 wanaojua kua ni msema kweli na mtunishi wa Mungu
 
Aisee kauli yako imenikumbusha stori ya Yesu Kristo na Herode...

Ndugu Yesu Kristo amerudi, yumo ndani ya Mch Josephat Gwajima anatenda kazi...

Kama wanataka kuharakisha vifo vyao, wapambane na Mungu ktk Yesu Kristo waone vipigo watakavyopata...

Mungu Jehovah yuko kazini..
Tanzania ina watanzania milioni 60 Mungu hasemi na yeye tu

Gwajima nabii wa uongo aliahidi wana Kawe atatupeleka Birmingham hajawahi tupeleka
 
Ukitaka kujua kuwa huyo uliyemuita sisimizi si sisimizi kuliko unayemuona ni tembo, wavue hivyo vyeo vya kurithi alafu pima aspect nyingine zote na status zote utagundua sisimizi uliyemuona wewe anawazifa mkubwa sana. Hivi vyeo vya kisiasa vinawafanya Wajinga wengi sana wenye madaraka waonekane wanautimamu kulingana na viti walivyokalia vinavyosababisha waongoze werevu wenye akili bendera na kupuuza wenye maono mapana. Siwezi kushangaa lakini kwakuwa Intelligence can't be measured by average mindset 🌚
Huyo Gwajima Alienda kufuata nini kwenye ubunge na vyeo vya CCM kama vyeo huko kanisani kwake vikubwa kuliko kwenye siasa? Ukishawahi ona Papa wa katoliki anagombea ubunge au ujumbe kwenye chama cha siasa?

Anajua cheo chake kikubwa kuliko hivyo ndio maana hagombei
 
Yesu alitoka mbinguni na kuja kuwakombo wa duniani
 
Back
Top Bottom