Rais inawezekana vipi kujibizana na Josephat Gwajima? Mbona sielewi!

Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Gwajima siyo sativa
 
Ila inawezekana wapo matapeli,ambao ni afadhali mara billion ya Gwajiboy amboa ndio Gwaji amejitolea kuwa chokonoa na hapa unasikia vilio vyote
 
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
umevimbiwa makande tafuta choo ukate gogo
 
Mwenzenu anafanya anayosikia na kuambiwa na Mungu wake.....

Nyie nanyi fanyeni yale ambayo miungu yenu inawaambia.
Unaota Usalama wa taifa Tanzania una watu wakeshao usiku na mchana kuomba Mungu awaonyeshe nini cha kushauri nchi iendaje

Nafikiri huelewi concept ya kwenye Biblia kuwa tawala huwekwa na Mungu na concept ya mtume Paulo kuwa anataka kabla ya yote anataka maombi na maombezi yafanyike kwa ajili ya wafalme na watawala nchi iishi kwa amani

Usalama wa taifa Tanzania wanao manabii,maaskofu,mapadre ,nk hivyo hizo nabii fake za hao part time prophets ,mapadre ,maaskofu nk ambao mara manabii,mapadre,maaskofu nk kesho wageuka wabunge ,keshokutwa wajumbe chama cha siasa au wanaharakati hawawezi shindana kumsikia Mungu na watu wa usalama wa Taifa kitengo dini
 
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
🤣🤣🤣 sema Rais aliyerithi nafasi ya Urais baada ya Rais aliyekuwepo kufariki dunia.

Ndio maana anamuogopa sana Tindu A. Lissu.

God bless Tundu Lissu
 
Unaota Usalama wa taifa Tanzania una watu wakeshao usiku na mchana kuomba Mungu awaonyeshe nini cha kushauri nchi iendaje
Shida iko kwa huyo Mungu wanayemwombaga halafu anawaambia ".....nendeni kwa kificho na kwa jina la polisi wa Tanzania, tekeni, teseni, vunjeni miguu na mikono kisha ueni ..."; basi huyo sio mungu wa Askofu Gwajima...

Huyo mungu wa usalama wa taifa wenu, ni yule mungu - Jezebel aliyekalia kiti cha u - Rais wa nchi yetu...!

Mungu wa Askofu Josephat Gwajima anaitwa Yahweh au Jehovah - Mungu wa mbinguni, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, mfalme wa wafalme, Mungu wa miungu yote na Bwana wa bwana wote. Ni Mungu wa HAKI na atunzaye uhai wa watu. Si Mungu wa dhuluma na wizi wa kura ktk chaguzi...!!

Huyu ndiye Mungu wetu pia
 
Kinacho tia moyo ni kwamba aina ya watu kama huyu aliyetoa mada hapo juu wamebaki wachache sana Kwa sasa watanzania wengi wamesha ujua ukweli mpaka Sasa... akili kama hizi ndio zilikua mtaji mkubwa kwa chama tawala.
 
Tanzania ina watanzania milioni 60 Mungu hasemi na yeye tu

Gwajima nabii wa uongo aliahidi wana Kawe atatupeleka Birmingham hajawahi tupeleka
Na wewe mwanaume ulikaa kizembe kusibiri upelekwe Birmingham?

Usipende ofa utauponza mzee.
 
Gwajima hajatoka mbinguni babu yake alikuwa mganga wa kienyeji wa kisukuma mhangaika na misukule na matunguli

Hayo mambo ya Misukule Gwajima alirithi mikoba kwa babu yake
Endeleeni kukariri Wokovu unanjia nyingi za kupitia
 
Gwajima sio sisimizi

Mbunge huitwa mheshimiwa mbunge sio sisimizi

Pili yeye ni mjumbe wa vikao vya juu kabisa vya CCM

Tatu yeye ni Askofu mkuu wa makanisa ya ufufuo na uzima kitaifa

Ana usisimizi gani?

Hajui uzito wa vyeo alivyo navyo?.kuwa na yeye ni kiongozi wa kitaifa kama Raisi Samia?
mleta mada ni wa hovyoo
 
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri

RAIS SAMIA_- AMEMPA ZA USO GWAJIMA_ AKATWE MKUTANO MKUU NAWAAGIZA WAJUMBE ASIRUDI BUNGENI
 
Mnampenda na nani?mbona mimi na familia yetu hatumpendi tena huwa tunaomba Mungu atuamulie huu ugomvi.
 
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Hakuchaguliwa.
 
Kama Mungu yupo, ninyi watu wenye roho za ibilisi mnatakiwa mfe kifo cha mateso makali sana.
 
Hivi unaweza kuweka hapa jamvini tusi au lughavchafu yoyote ambayo Baba askofu Gwajima aliitumia dhidi ya Rais wetu?msipende kuzua taharuki kwenye vitu ambavyo havipo jiheshimu kama mtu mzima dada angu acha tamaa na njaa dada angu
 
Back
Top Bottom