Rais inawezekana vipi kujibizana na Josephat Gwajima? Mbona sielewi!

Rais inawezekana vipi kujibizana na Josephat Gwajima? Mbona sielewi!

Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Maku wewe
 
Kwa hiyo ya kutuambia wana Kawe atatupeleka Birmingham tukimpa kura hakusikia Kwa Mungu au ?

Unabii wa Birmingham aliutoa wapi?
Jibu hoja ya watu kutekwa kuhusu Birmingham wabunge na wanasiasa almost wote ni waongo na hilo we mwenyewe unalijua hizi story za mama hatukudai wewe kwa akili yako unaona ni za kweli?msipende kukuza mambo ishu ni utekaji kwa wakosoaji wa serikali tustick hapo tafadhali
 
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?

Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?

Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?

Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?

Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Gwajiboy amekosea wapi?
#Gwajimanazation
 
Shida iko kwa huyo Mungu wanayemwombaga halafu anawaambia ".....nendeni kwa kificho na kwa jina la polisi wa Tanzania, tekeni, teseni, vunjeni miguu na mikono kisha ueni ..."; basi huyo sio mungu wa Askofu Gwajima...

Huyo mungu wa usalama wa taifa wenu, ni yule mungu - Jezebel aliyekalia kiti cha u - Rais wa nchi yetu...!

Mungu wa Askofu Josephat Gwajima anaitwa Yahweh au Jehovah - Mungu wa mbinguni, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, mfalme wa wafalme, Mungu wa miungu yote na Bwana wa bwana wote. Ni Mungu wa HAKI na atunzaye uhai wa watu. Si Mungu wa dhuluma na wizi wa kura ktk chaguzi...!!

Huyu ndiye Mungu wetu pia
Shida wewe hujui maandiko Mungu humpa amtakaye hata kwa kuua

Aliua majeshi ya wamisri na wafilisti ili awape waisrael nchi ya Israeli isiyo yao

Alimpa Suleiman mtoto wa nje ya ndoa mtoto wa malaya kuwa mfalme wa Israeli akaacha watakatifu watoto watakatifu wa ndani ya ndoa wa akina Askofu Gwajima ,Bagonza, Mwamakula, Mchungaji Kimaro wa KKKT,Askofu Mwanamapinduzi nk nk wapenda haki na utakatifu mitoto yao wala haina future eleweka

Madaraka Mungu ndio hutoa hadi leo
 
Inawezekana wewe ndo IGP Omar,huo uchawa sio poa kamanda
 
Mkuu hili siyo kosa lako maana ulikuwa chooni unajisaidia, baada ya kimba kushindwa kutoka kiulaini ukaamua ku-type hovyo hovyo na matokeo yake ndo haya.

Pole kwa kupatwa na choo kigumu.

Cc DIVISHENI FOO Mnyambo wa kyerwa
 
Back
Top Bottom