nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Wewe na nani?Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana,
Kiukweli ukiwahishwa hospitali na ukiwa unazingatia kunywa dawa zako kwa wakati, hakika una nafasi kubwa sana ya kupona shida ya afya ya akili inayokukabili.Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli flani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini? Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli? Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu? Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Tanzania ina watanzania milioni 60 Mungu hasemi na yeye tuAisee kauli yako imenikumbusha stori ya Yesu Kristo na Herode...
Ndugu Yesu Kristo amerudi, yumo ndani ya Mch Josephat Gwajima anatenda kazi...
Kama wanataka kuharakisha vifo vyao, wapambane na Mungu ktk Yesu Kristo waone vipigo watakavyopata...
Mungu Jehovah yuko kazini..
Huyo Gwajima Alienda kufuata nini kwenye ubunge na vyeo vya CCM kama vyeo huko kanisani kwake vikubwa kuliko kwenye siasa? Ukishawahi ona Papa wa katoliki anagombea ubunge au ujumbe kwenye chama cha siasa?Ukitaka kujua kuwa huyo uliyemuita sisimizi si sisimizi kuliko unayemuona ni tembo, wavue hivyo vyeo vya kurithi alafu pima aspect nyingine zote na status zote utagundua sisimizi uliyemuona wewe anawazifa mkubwa sana. Hivi vyeo vya kisiasa vinawafanya Wajinga wengi sana wenye madaraka waonekane wanautimamu kulingana na viti walivyokalia vinavyosababisha waongoze werevu wenye akili bendera na kupuuza wenye maono mapana. Siwezi kushangaa lakini kwakuwa Intelligence can't be measured by average mindset 🌚
Yesu alitoka mbinguni na kuja kuwakombo wa dunianiHuyo Gwajima Alienda kufuata nini kwenye ubunge na vyeo vya CCM kama vyeo huko kanisani kwake vikubwa kuliko kwenye siasa? Ukishawahi ona Papa wa katoliki anagombea ubunge au ujumbe kwenye chama cha siasa?
Anajua cheo chake kikubwa kuliko hivyo ndio maana hagombei
Gwajima hajatoka mbinguni babu yake alikuwa mganga wa kienyeji wa kisukuma mhangaika na misukule na matunguliYesu alitoka mbinguni na kuja kuwakombo wa duniani