Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,620
Gwajima siyo sativaMheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?
Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?
Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?
Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Ila inawezekana wapo matapeli,ambao ni afadhali mara billion ya Gwajiboy amboa ndio Gwaji amejitolea kuwa chokonoa na hapa unasikia vilio vyoteMheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?
Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?
Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?
Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
umevimbiwa makande tafuta choo ukate gogoMheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?
Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?
Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?
Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Unaota Usalama wa taifa Tanzania una watu wakeshao usiku na mchana kuomba Mungu awaonyeshe nini cha kushauri nchi iendajeMwenzenu anafanya anayosikia na kuambiwa na Mungu wake.....
Nyie nanyi fanyeni yale ambayo miungu yenu inawaambia.
🤣🤣🤣 sema Rais aliyerithi nafasi ya Urais baada ya Rais aliyekuwepo kufariki dunia.Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?
Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?
Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?
Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Shida iko kwa huyo Mungu wanayemwombaga halafu anawaambia ".....nendeni kwa kificho na kwa jina la polisi wa Tanzania, tekeni, teseni, vunjeni miguu na mikono kisha ueni ..."; basi huyo sio mungu wa Askofu Gwajima...Unaota Usalama wa taifa Tanzania una watu wakeshao usiku na mchana kuomba Mungu awaonyeshe nini cha kushauri nchi iendaje
Na wewe mwanaume ulikaa kizembe kusibiri upelekwe Birmingham?Tanzania ina watanzania milioni 60 Mungu hasemi na yeye tu
Gwajima nabii wa uongo aliahidi wana Kawe atatupeleka Birmingham hajawahi tupeleka
Endeleeni kukariri Wokovu unanjia nyingi za kupitiaGwajima hajatoka mbinguni babu yake alikuwa mganga wa kienyeji wa kisukuma mhangaika na misukule na matunguli
Hayo mambo ya Misukule Gwajima alirithi mikoba kwa babu yake
mleta mada ni wa hovyooGwajima sio sisimizi
Mbunge huitwa mheshimiwa mbunge sio sisimizi
Pili yeye ni mjumbe wa vikao vya juu kabisa vya CCM
Tatu yeye ni Askofu mkuu wa makanisa ya ufufuo na uzima kitaifa
Ana usisimizi gani?
Hajui uzito wa vyeo alivyo navyo?.kuwa na yeye ni kiongozi wa kitaifa kama Raisi Samia?
Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?
Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?
Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?
Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Wewe na nani?😡tunakupenda
Tayari wametuita kengeUnamuita Mbunge’s Sisimizi? Na Sisi wananchi wa kawaida utatuita nani?
Hakuchaguliwa.Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?
Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?
Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?
Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Kama Mungu yupo, ninyi watu wenye roho za ibilisi mnatakiwa mfe kifo cha mateso makali sana.Mheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?
Gwajima ni tapeli fulani tu nchi nzima inamjua, alikutukana na kukudhihaki hadharani, hukutakiwa kumjibu ila alitakiwa kushughulikiwa kimya kimya na mfumo, kumtaja yule tapeli ni kushusha hadhi yako. Sasa ona anajibizana na wewe, hayo unayalea wewe, kwanini lakini?
Kabla ya mkutano mkuu ilitakiwa ameshafukuzwa siku nyingi, unakwama wapi Rais wangu katiba zote ya nchi na ya chama inakupa nguvu tena kubwa, muhali wa nini mkuu wetu. Hv kweli Josephat aendelee kuhudhuria bungeni? Kweli?
Mh. Rais unataka kupanda mbegu mbaya sana nchi hii na hatupendi hicho kitu. Mtangulizi wako hata kukaribiwa kuna kima angethubutu?
Mama chukua hatua hatutaki ofisi takatifu km hiyo inajisiwe, IGP wako haeleweki, piga chini weka IGP km Omar Mahita mzee wa ngunguri uone km kuna kima atakohoa. Kila la kheri
Hivi unaweza kuweka hapa jamvini tusi au lughavchafu yoyote ambayo Baba askofu Gwajima aliitumia dhidi ya Rais wetu?msipende kuzua taharuki kwenye vitu ambavyo havipo jiheshimu kama mtu mzima dada angu acha tamaa na njaa dada anguMheshimiwa Rais wetu tunakupenda sana, tunaumia unavyotukanwa, unavyobagazwa, unavyodunishwa, unavyokebehiwa, inatuumiza. We Rais ni mkuu wa nchi, ni mkuu wa serikali, ni amiri jeshi mkuu, ndio icon ya nchi yetu, ni nani anaweza kukudhihaki na kukutukana ndani ya nchi hii?