sASA HUYU NDIYE ATAPAMBANA NA LIPUMBA WA CUF, ZITTO WA CDM NA HASHIM RUNGWE WA CHAUMMA SAWASAWA NA MALENGO.Nadhani huna unachojua juu ya hili jambo subiri uelimishwe kuliko kuwa mtabili dogo.
sASA HUYU NDIYE ATAPAMBANA NA LIPUMBA WA CUF, ZITTO WA CDM NA HASHIM RUNGWE WA CHAUMMA SAWASAWA NA MALENGO.Nadhani huna unachojua juu ya hili jambo subiri uelimishwe kuliko kuwa mtabili dogo.
Safi sana rais mpe wizara kabisa huyo mama jembe ataweza kuchapa kazi kwa moyo na uadilifu anaweza pia anakipaji cha uongozi.
Nina msubiri kwa hamu sana 2015 mwanga... ni mlaini kuliko wanavyodhani... hongera migiro kama ni kweli nakusubiri jimboni mwanga 2015. Yes...
Samahani mkuu,mimi mgeni humu, ningeomba utupe rekodi ya utendaji wake japo kwa mambo machache aliyolifanyia taifa hili,ili pongezi zangu zisiende bure mkuu,asante.
Huyu mama WAZUNGU walimuona KILAZA. Sisi tunamuona anafaa!!!!! UN kulimshinda. Hiyo ndo tofauti ya sisi na wazungu. Heri angemuteua Shonza kuliko Migiro. HELA ZA UN NAONA KAMALIZA.
Nina msubiri kwa hamu sana 2015 mwanga... ni mlaini kuliko wanavyodhani... hongera migiro kama ni kweli nakusubiri jimboni mwanga 2015. Yes...
DR.Asha Rose Migiro ateuliwa kuwa Mbunge wa Heshima,Bunge la Tanzania.Uteuzi umefanyika leo na Mh.Rais wa JMT
Atachukulia poa kwamba kwa viwango vya kitaifa yupo vizuri ila vya kimataifa kuna shida, nashukuru sasa hivi wananchi wameanza kuingiwa na moyo wa kufanya biashara na kushiriki shughuli mbalimbali za kiuchumi na nina imani wana siasa wa kizazi kipya kwa siku za usoni watakuwa na shughuli zingine za kufanya. Kama ulishafanya kazi katika level ya kitaifa na ukaenda kimataifa ukimaliza muda wako pumzika fanya kazi zingine binafsiBan Ki Mun akisikia sijui atamuonaje Jk