Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Dalili hizoooooooooooooooo!!!!!! Mh. LOWASA Ikulu inapakwa rangi kwa huyu DADA.

Tukumbushane neno "MIZENGWE" lilianzia wapi.

JANJA KWISA JUA.

Mteue wa CCM Urais 2015 mikakati hiyo.
 
Mbunge wa heshima ya kumlinda dentist kinana muuaji wa tembo wetu
 
Kuna dot.........fulani na mizunguko yake ya Chama, haya tuone kamati kuu itaamua mgombea awe mwanamke kama walivyo fanya kwa spika wa bunge. Tusubiri tuone

Na mi naona hii kitu inakuja!
 
Ninge shauri apewe uPM ili awamu hii ya nne iweke record ya kutupatia spika ke na Pm ke. Ikiwezekana ituachie rais ke.
 
Anataka ampe utazidi nini! un kachemsha labda bongo atamudu maana watendaji wengi ni dhaifu! Aha nimekumbuka anaongeza wapiga kura Wakati wa bunge la katiba!
 
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.

Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.

Mungu Ibariki Tanzania...

Hamna jipya hapo.....Alikuwa kiruka njia utafikiri alikuwa Mbunge..
 
Nina msubiri kwa hamu sana 2015 mwanga... ni mlaini kuliko wanavyodhani... hongera migiro kama ni kweli nakusubiri jimboni mwanga 2015. Yes...
Umejimilikisha jimbo kabla hata ya uteuzi wa wagombea na kampeni za uchaguzi!.

Kwa nini usiseme CHADEMA inamsubiri Mwanga hasa ikichukuliwa wewe sehemu yako ya utendaji wa kazi iko Dar-Es-Salaam.

Siasa zimepata wenyewe!.
 
Hongera yake!.

Hizi movement zinazofanywa kwa sasa na huyu Mama akisaidiwa na baadhi ya viongozi wa CCM zina sababu kubwa nyuma yake!

Kama hawa baadhi ya viongozi wa CCM wanafikiria hii ndiyo njia ya kumpa exposure ili ikifika July 2015 awe ni mgombea Urais wa "Tanganyika" au Tanzania kwa tiketi ya CCM, basi watakuwa wanashauriwa vibaya sana.

Huyu Mama kwa mtazamo wangu, hafai kuwa Rais. Tanzania ya baada ya 2015, itahitaji Rais mkali mwenye kusema na kuyatenda maneno. (Firm and fair).

Huyu mama anaonekana ni soft touch kama Mizengo Pinda.

Kumsimamisha kuwa mgombea Urais ni kutowatendea haki wana CCM na kikubwa kabisa, ni kutoitendea haki nchi na vizazi vilivyopo na vijavyo.
 
Hongera za nini?Kwani kafanya nini cha maana?Acha kutumiwa na wanaume wenzako.Vuja jasho ule kihalali.
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.

Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.

Mungu Ibariki Tanzania...
 
Ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
DR.Asha Rose Migiro ateuliwa kuwa Mbunge wa Heshima,Bunge la Tanzania.Uteuzi umefanyika leo na Mh.Rais wa JMT
Oyaaaa!!!! Jamiiforums ni familia kubwa saaana. Kabla hujapost habari, hasa ambayo ni public jiridhishe kwamba hakuna ambaye ameshapost, unawapa kazi moderators kuunganisha nyuzi. Hii habari yako imeshafunguliwa uzi na umeshachangiwa sana. Jifunze!!!
 
Back
Top Bottom