jembe letu
Member
- Nov 29, 2013
- 37
- 6
Hahaaa!!kumbe kule alifukuzwa?
Hahaha....
Na kama atamteua kwenye cabinet reshuffle ni lazima aonyeshe ana utaalamu exceptional ambao hauwezi kupatikana ndani ya wabunge wa CCM.
Next time atampa Kinana Ubunge kuelekea general Election
Kesho Headline utaskia, Migiro Aula....
Nawashangaa watu wanaolaumu JK kumteua mtu aliye-underperfom UN kuwa mbunge wakati alimteua mtu aliye-underperfom UNHABITAT kuwa Minister
wekeni, picha yake wakuu. Wengine atumjui.
Hapa lazima Chama cha kikanda muombe poo.
Hongera Jakaya, Hongera CCM, Hongera Migiro.
.
nadhani anamwandaa kugombea ''ulaishiiii'' ifikapo 2015kwa mema gani aliyoifanyia tanzania ambayo ni ya kipekee (special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa un for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea
Mgombea urais kwa kupitia CCM 2015!sijui nae ccm wataweka zengwe anatoka kaskaziniSafi sana rais mpe wizara kabisa huyo mama jembe ataweza kuchapa kazi kwa moyo na uadilifu anaweza pia anakipaji cha uongozi.
UNAVYOFURAHIA UTADHANI UNAKULA GAWIO.:tape:Hapa lazima Chama cha kikanda muombe poo.
Hongera Jakaya, Hongera CCM, Hongera Migiro.
.
Atachukulia poa kwamba kwa viwango vya kitaifa yupo vizuri ila vya kimataifa kuna shida, nashukuru sasa hivi wananchi wameanza kuingiwa na moyo wa kufanya biashara na kushiriki shughuli mbalimbali za kiuchumi na nina imani wana siasa wa kizazi kipya kwa siku za usoni watakuwa na shughuli zingine za kufanya. Kama ulishafanya kazi katika level ya kitaifa na ukaenda kimataifa ukimaliza muda wako pumzika fanya kazi zingine binafsi
Uwaziri unanukia,Hongera sana raisi kwa kumteua Migiro.
Nina msubiri kwa hamu sana 2015 mwanga... ni mlaini kuliko wanavyodhani... hongera migiro kama ni kweli nakusubiri jimboni mwanga 2015. Yes...
ndioo!!!!!!!!!! zimeongezekaRais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.
Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.
Mungu Ibariki Tanzania...
Avatar yako ina-reflect thinking capacity yako ilivyo!
vyeo vya kupeana na kujuana ndo sera ccm.kuna wasomi vijana wako mitaani wanahangaika tu.then naibu katibu mkuu wa un mstaafu anapewa cheo