Anakwenda kuziba nafasi ya mmoja wa mawaziri mizigo
Bila shaka muda si mrefu atapewa wizara.
ReduceI hate this recycling!!!!
Wakati mnapiga majungu watu wanafanya kazi...... !Hongera za nini?Kwani kafanya nini cha maana?Acha kutumiwa na wanaume wenzako.Vuja jasho ule kihalali.
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea
dr.asha rose migiro ateuliwa kuwa mbunge wa heshima,bunge la tanzania.uteuzi umefanyika leo na mh.rais wa jmt
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.
Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.
Mungu Ibariki Tanzania...
Huyu mama hana lolote ndio maana katibu wa umoja wa mataifa alimwaga baada ya kushindwa kudeliver wakati akiwa UN hapo ndio naamini uongozi sio shule za kukariri Kama wakina Migiro uongozi ni Nature Kama anavyofanya Mbowe anawaumiza kichwa ccm ndio maana huwa namsalute Mbowe kwasababu ni genius kwenye uongozi bila phd
Asante mkuu. Hapa JK ametikisa kiberiti. Tutaanza kuona mawaziri wakijifanya kuwa wakari ili kuonesha wanachapa kazi. Ooooh my country Tanzania, when will you start walking??? Miaka 50+ bado unatambaa!!!!!Nimegonga LIKE!!!!!!!!
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi wameamua kutafuna pesa za mshahara na posho za bunge,kudadeki,katembea na kinana vijijini kurudi tuh,ubunge huo.............mungu amuepushe asije akawa mjamzito ili atu ikie bunge kweli
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.
Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.
Mungu Ibariki Tanzania...
Hahaha....
Na kama atamteua kwenye cabinet reshuffle ni lazima aonyeshe ana utaalamu exceptional ambao hauwezi kupatikana ndani ya wabunge wa CCM.
Next time atampa Kinana Ubunge kuelekea general Election
Kesho Headline utaskia, Migiro Aula....
Nawashangaa watu wanaolaumu JK kumteua mtu aliye-underperfom UN kuwa mbunge wakati alimteua mtu aliye-underperfom UNHABITAT kuwa Minister