Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Njia za kuelekea 2015 . . . . . .na mtajipanga sana ila mtaipata tu nyundo yenu inawasubiri
Only time will tell
Sent from my Blackberry 9860 using JamiiForums
 
Ongera zake,amuongeze na Dr Slaa,ili apunguze kula ruzuku zetu isivyo halali
 
Nafasi 10 za Jk kuwateuwa wabunge
1 Shams vuai Nohodha
2 Zakhia Merghi
3 James Mbatia
4 Asha Rose Migiro
5 profesa Sospeter Muhongo
6 profesa Makame Mbarawa
7Janeth Mbene
8 ...................?
9 .......................?
10 ......................?



Katiba iondoe huu upuuzi wa kijinga!
 
Hongera Dr. Asha Migiro wakati wowote JK atamkabidhi wizara.
 
wewe unaesema Prof. Tibaijuka wa UNHABITAT aliunderperform una matatizo sana. tafuta rekodi Prof. alifanya kazi kubwa sio kama huyo kilaza Migiro kubebwa tu eti kisa ana elimu kubwa akatuaibisha UN.
 
Walio nacho wanazidi kuongezewa! Kama hii nchi kungekuwa na sheria, kila mtu awe na kazi moja 2 watu wengi wangekuwa na ajira! LAKINI CC, WANAGAWANA VYEO WALE WALE TU!

Maskini nchi yangu Tanzania..

Mnadhimu wa jeshi anastaafu leo baada ya mwezi anateuliwa kuwa balozi!!

Alafu hao hao ccm wanasema hakuna ajira!

Ndo maana vijana wanatamani kuzaliwa mbwa ulaya!!
 
Huyu mama hana lolote ndio maana katibu wa umoja wa mataifa alimwaga baada ya kushindwa kudeliver wakati akiwa UN hapo ndio naamini uongozi sio shule za kukariri Kama wakina Migiro uongozi ni Nature Kama anavyofanya Mbowe anawaumiza kichwa ccm ndio maana huwa namsalute Mbowe kwasababu ni genius kwenye uongozi bila phd
Siku zote tabia za wanawake huwa hawapendani.
 
Hii nchi sura zilezile kila cku ashakua waziri, akawa naibu katibu mkuu UN sasa Ubunge wa nini tena? kwa nini asipumzike waingie wengine??? CCM shenzi type
 
Atapewa ofisi ya Muhongo(wizara ya madini na nishati)
 
Huyu jamaa ndio mmoja kati ya watu wapotoshaji na wanaoharibu watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Sifa ya huyu mama UN ni kubwa na heshima kwa watanzania ambayo huyu jamaa hawezi kuipata hata siku moja. Usipende chama zaidi kuliko utu wa mtu.
kafanya nini UN ebu tupe rekodi zake sio unatetea uozo wewe
 
Safi sana rais mpe wizara kabisa huyo mama jembe ataweza kuchapa kazi kwa moyo na uadilifu anaweza pia anakipaji cha uongozi.

Kwani alipokuwa Waziri wa Mambo ya nje alifanya nini cha kukumbukwa?!
 
Semeni mteule wa jk huyooooo! Lowasa ushapata mpinzani

Mtu amefeli UN akafukuzwa leo amekuwa lulu ya chama tawala na jamhuri inajiandaa kumuweka awe rais? Michezo ileile iliyotokea kwenye uspika ndio inajirudia kwenye urais 2015

Dr Slaa njia ya Ikulu ni nyeupe kwako ikiwa chama kitakupa nafasi ya kugombea
 
:spy:

Nasikia JK alikua anataka kumteua Ray c, Watu wakaguna mhh :shocked:..

Ndio ikabidi mzee amteue Bi Asha-ngedere.


:A S 114:
 
Back
Top Bottom